Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Je kama una degree alf ukatumia chet cha form six kuomba na ukakubaliwa je ukitaka kutumia cheti cha degree ni baada ya muda gan na process zake zinakuwaje?

Na hv kuoa ni baada ya miaka mingap ya kufanya kaz
 
Kuoa ni baada ya miaka 3 na cheti vivyo hivyo
 
Wakuu mbona kama sielewi hizi ajira za polisi ndo tulipigwa changaa au🤷
 
Back
Top Bottom