Jax66
JF-Expert Member
- Nov 10, 2023
- 561
- 510
Tumia akili bas na ww hata ile ya kuzaliwa tu inatosha mkuu….kat yang mm na yeye nan amemkashfu mwezie apo ama wapi mm nimemkashfu??🤔…..nanukuu alichokiandika “nyie ndo mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa” sasa anaanzaje kuniambia mm hivo kua ntasumbua watu na rushwaa hivii ni sawa hata kwako ungeambiwa hivo??…….ni kweli alikurupuka lait angekua amepitia post za nyuma vzr asingeniandikia hivyo, swala la kuulizia mishahara sidhani kama ni dhambi mpka yy aniambie hivo na pia lengo lakuulizia hivyo ni ili nipate usahihi sabab yupo aliepost mishahara humu ya polis na ikasemekana sio kweli alichokipost na mwana jf mmoja akajitolea kua kuna siku atasema jinsi mishahara inavyolipwa na ndo huyu niliekua namkumbusha atuambie.