Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Salamu Wakuu....

Wakati Mnaendelea Kusubiri Majina Ya Usaili... Kwa Wale Watakaobahatika Kwenda CCP Kubwa Zaidi Ni Kuzingatia Yafuatayo

1. Una Namba Ya NIDA. Hii Ni Muhimu Sana Usije Kusumbuka Sana Chuoni

2. Majina Ya Vyeti Vyako Vya Elimu Yaendane Na Majina Ya NIDA

3. Majina Ya Kwenye Cheti Cha Kuzaliwa Yaendane Na Majina Ya NIDA

4. Kwa Wale Ambao Watakuwa Na Changamoto Zote Hapo Juu Hakikisha Unajiandaa Kifedha Kutokana Na Issue Za KISHERIA Za Kufuata Ukifika Chuoni

NAWASILISHA...
 
Interview za jeshi la police huwa ni ngap? Na damu mnapima kwenye interview pale pale au kuna kuwa na utaribu gan
Interview Huwa Ni Mara Moja Ambapo Mtafanya Ndani Ya Wiki Moja... Kuna Siku Mtafanya Vipimo Tu, Siku Nyingine Maswali Ya Ana Kwa Ana, Siku Nyingine Mtafanya Mitihani Ya Kuandika Na Mazoezi Mengine Kadhaa Kadiri Ya Ratiba Zao
 
Hakuna kutumia simu mwaka mzima uko si ndio?
Simu Ni Marufuku Kabisa Aisee Ukiwa Na Shida Unaenda Kwa OC Wa Kombania Ndo Ana Mamlaka Ya Kutoa Mawasiliano...

Kupatikana Na Simu Ni Kujifukuzisha Mafunzo...

Wiki Mbili Kabla Ya Kuhitimu Mafunzo Mtapatiwa Ruksa Ya Kumiliki Simu... Ila Kadiri Ya Jeshi Itakavyoona Inafaa Zaidi
 
Anhaa kwayo simu tunaenda nazo alafu tunazikabidhi mpka mafunzo yakiisha ndo tutapewa au?
 
Back
Top Bottom