Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Polisi hawajawahi! Kukaa zaid ya miezi miwili baada ya tarehe ya mwisho wa ku apply kupita! Mara nyingi ni kuanzia 3 weeks - 7weeks ukiona wanachelewa basi zipo tusababu kadhaa! Ila majina ya usaihili yanaweza kutoka siku yyte hata Leo! Na pia yanaweza yakachelewa All in all subirini tu !
 
Kipindi kama hiki wengi huwa wanasema kulingana na utashi wao! Lonja zitatembea sana ila wenye taarifa za uhakika huwa hawasemi! Na wala hawapo humu na kama wapo ni wachache sana! Waliopo humu wengi wanatafuta tu tetesi
 
Interview za jeshi la police huwa ni ngap? Na damu mnapima kwenye interview pale pale au kuna kuwa na utaribu gan
 
Back
Top Bottom