Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tumia akili bas na ww hata ile ya kuzaliwa tu inatosha mkuu….kat yang mm na yeye nan amemkashfu mwezie apo ama wapi mm nimemkashfu??🤔…..nanukuu alichokiandika “nyie ndo mnaotaka kuingia kazini mnawaza hela tu na kusumbua watu kwa rushwa” sasa anaanzaje kuniambia mm hivo kua ntasumbua watu na rushwaa hivii ni sawa hata kwako ungeambiwa hivo??…….ni kweli alikurupuka lait angekua amepitia post za nyuma vzr asingeniandikia hivyo, swala la kuulizia mishahara sidhani kama ni dhambi mpka yy aniambie hivo na pia lengo lakuulizia hivyo ni ili nipate usahihi sabab yupo aliepost mishahara humu ya polis na ikasemekana sio kweli alichokipost na mwana jf mmoja akajitolea kua kuna siku atasema jinsi mishahara inavyolipwa na ndo huyu niliekua namkumbusha atuambie.
 
Ujumbe wako uo👆👆
 
Wapi nimeweka mpangilio mbaya wa maneno mkuu??
 
Hivi kwa watu wa usalama na police au jeshini, ukitaka kazi ya teknolojia na mawasiliano ni lazima upitie mafunzo ya kijeshi? I mean kama wanavoenda JKT jalamba
 
una tukulipe bilioni ngap kwa mwezi madam?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mishahara hiyo? Kuna kitu nimekiamini kuhusu taasisi ya police, nilikua nasikia tyuu, ila leo nimeaminii.

Sema kwenye posho ndo wanabaruzaa sanaa, woiiiiih
 
ona huu ujinga kwenye elimu 😥 hii nch🚮🚮
 
Wakuu na jobless wote poleni na kazi na majukumu kwa ujumla. Vip hawa polisi za ndani mlio pata au kusikia ni lini wakaachia PDF
naona wamembizana kua “ngoja tutulie kimya kwanza hawa majobless waendelee kuungua na jua tuu huko mtaani”😂😂😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…