Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Mkuu kwema sorry una ronja zozote Hawa madogo wameingia Dec mwaka jana wanatola loni
Jaman mbona haya mambo nilisema toka week iliyopita kuwa juma tatu kuna kitu tawaonesha hapa.

Au mnazani fundi manyumba nakosea mimi
Wale madogo wako CCP toka Dec 1 kozi wanafunga lini????
 
Jumla ya majina ya walioitwa kwenye usahili wa Jeshi la Polisi ni 33,998. yaan 34,000 kasoro mtu mbili.
Tanzania ni watu 31,930
Zanzibar ni watu 2,068

alooo shuhuri ni pevu sasa sijui bogi linataka Askari wa ngap hapo usikute panga likapita na zaid ya watu buku thelasin 30...

Dj gonga midundo kuchangamke😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…