Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Watu waliochaguliwa kufanya interview kinondoni wanafanyia maeneo gan? Kwenye kituo kikubwa cha polisi cha wilaya au kwa mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa msaada kwa anaejua
 
Wakuu wakuu mbona uzi umepoa huu jameni📢📢📢…..shusheni nondoo humu
 
Naskia hio tarehe 29 ni kucheki afya na kukagua mwili. Kuna uwezekano wa kufanya written intavyuu pia.
Sa sijui nguo za michezo ni za nini tutakimbia au
Kuna uwezekano wa mabio apo mkuu
 
Back
Top Bottom