Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Wakuu hakikisha unamjua wazir wa mambo ya ndani (MOHA) na naibu wazir…sawa maafandee?📢
 
Hakikisha unamjua IGP ni nani, na uwajue ma IGP watano waliopita….sawa maafande?📢
 
Afande kunywa maji mengi….litakufa jitu uko🔥
 
Kwa wale waliopitia jkt usiende pale kwenye panel kama unaenda kuchukua sahani ya ubwabwa….utakuja kunishukuru baadae ukienda ivo
 
Yani wakikugundua kama umepita jkt alaf unawaendea pale kama unaenda kufata sahan ya ubwabwa aloo utawaeleza vzr maana iyo itakua dharau😂
 
Acha watu wakale doso maana raia 31K+ Tz mpatikane watu buku mbili sio mchezo..
maana watu wanaofanyia usahil Dom ni wengi kuliko wanaohitajika CPP🙌
 
Naskia ukifika pale baada ya kukabidhi vyeti unaweza usiulizwe chochote ila ukaambuwa tu “jielezee” alooo sasa we jichanganye jiumeume tu….hautaamin
Kweli shuhuri ni pevu dadekiiii...

hivi maswali unapita mbele unaulizwa au ndio kuandikishana?😂😂
 
Naskia ukifika pale baada ya kukabidhi vyeti unaweza usiulizwe chochote ila ukaambuwa tu “jielezee” alooo sasa we jichanganye jiumeume tu….hautaamin
Mimi ni mchawi nmetoka gambosh niko hapa.......oa mkuu hichi ni kimbembe
 
Back
Top Bottom