Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Nachoshukuru mungu pombe situmii asente mungu kwa hili maana hii kitu inamaliza sana pesa 😂
 
tena hawa wanawake wa ki_leo wao na pesa kama embe na kokwa lake😂😂
Apo unampeleka bar mnatumia zaid ya elfu20 alaf unampeleka tena guest unalipa elf15 bado yeye anataka kama20 hivi…aloo lazima uchakae na ulie kua mshahara hautoshi 😂😂😂
 
Apo unampeleka bar mnatumia zaid ya elfu20 alaf unampeleka tena guest unalipa elf15 bado yeye anataka kama20 hivi…aloo lazima uchakae na ulie kua mshahara hautoshi 😂😂😂
tena hapo na ume assume budget kidogo mkuu mbona utasema umerogwa😂
 
Aya mkuu na totozi upunguze kidogo maana kuacha kabisa ni ngumu😂
Totoz mm sijaendekeza mkuu….ukizidiwa sana tafuta mtu wako mmoja ambae anajielewa ishi nae mtu ambae hata akikuomba pesa ukimwambia huna anakuelewa, huyu utakua hutumii gharama nying sana mkuu kuliko kwenda bar ulewe alaf udake lishangingi aloo litakuchakaza mpka ukomee nakwambia utachojoa hela izooo mpka ujute😂😂😂
 
Huwa nasikitika sana vijana wanapo ajiriwa katika jeshi hili masikitiko yangu hayana tofauti na nionapo vijana wanajiunga CCM hawa UVCCM ni huzuni kwa taifa.

Vijana nawahasa hizi sio ajira za kugombania kabisa achaneni nazo.
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Wakuda wa baadae
 
Huwa nasikitika sana vijana wanapo ajiriwa katika jeshi hili masikitiko yangu hayana tofauti na nionapo vijana wanajiunga CCM hawa UVCCM ni huzuni kwa taifa.

Vijana nawahasa hizi sio ajira za kugombania kabisa achaneni nazo.
Kugombania kvp mkuu?
 
Kwa tafsiri yako mkuu ni kama hizo nafasi zishajazwa watu wao au ni nn?
 
Madogo mliongia mzigoni msiende kuwa machawa wa SiSiEm nendeni mkaisimamie iliyo haki....
 
Back
Top Bottom