Kidjohuncho21
Member
- May 13, 2024
- 13
- 17
Hahahaaakama utafanyia dodoma utanipata..
Kama dasalam utanipata.
Ukibahatika kupita ukija kozi utanikuta kumbuka jina fundi manyumba
Kaka Dodoma hapa kama unambanga twende wote mtaani pagumu kaka 😂😂😂
Sema how 2naenda CIVE kaka??? Na wenyewe hawajasema direct kuwa itakuwa huko???