Wawe wanasema mapema wanahitaji watu wangapi bhn hii kuekana roho juu juu sio sifa wala nini ni kupotezeana muda na kuchomesha nauli. Imagine mtu atoke kigoma aende usaili wa kwanza Dar wa pili Dodoma af pdf la mwisho holaa kajihudumia nauli chakula na malazi kudadeki na wa kumlaumu huna unaishia kusonya tuu😂😂😂😂😂😂😂😂 af wale walokushaur uaskari sio kazi wanaanza kukuambia sie tulikwambia ukatuona wajinga ona sasa yalokukuta alooo unatafuta kona unaliaaa unapiga yoweee ukitoka hapo unarudi mtaani mateso yanaendelea.. ila mwakani wakitoa tena tangazo TPF umooo 🤣