Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Wakuu nauliza, hivi kwa walipoangiwa mfano ilala.. wana enda ku report kwa mkuu wa wilaya au makao makuu ya polis
 
Vip mkuu kama ukikosa original ya cheti kimoja kwa mfano cha kuzaliwa afu vyeti vingine ukawa navyo
Nachojua mm ni kwamba vyet vyote vya elimu husika na cha kuzaliwa walivyoseme uende navyo lazima vyote wavitake na wavikague….sasa jichanganye uende na chet feki cha kugushi pale aloo usaili utauona mchungu….utawapeleka mpka kwa uyo aliekutengenezea😂
 
Mfano ww unaitwa JUSTINE alaf kweny moja ya chet chako kikakosewa kikaandikwa JUSTIN ikakosekana eruf E aloo lazima wakutimue kwenu😂😂
JUSTINE
JUSTIN
JASTINI
JASTINE
Hao ni watu wa4 tofauti kwahyo lazima wakutimue
 
Uy

uyo jamaa hajui kitu….nisaidie kumwambia mkuu
Mimi nimeitwa na nilikuwa na mawazo kama yako ya kutumia cheti cha Form 4 ila nikapewa ushauri nikatumia cheti changu cha Degree nikaitwa! Suala la idadi hata huko 4 na 6 nafasi ni chache kulinganisha na idadi ya walioitwa kwahyo jambo la kutoboa usaili bado gumu ila ukishatoboa usaili nakuhakikishia utajuta kwanini hukuweka cheti cha Degree, Uoga wako ndio umasikini wako! Unaogopaje competition? Hata kama nafasi ingekuwa 1 kwa watu Milioni kumi kwaninj huyo mmoja asiwe wewe? Hujiamini yani unajiona hufai kupata nafasi utashindwa ndo maana unakimbilia kwenye wengi kutafuta huruma! Hiyo mindset ya kufeli achana nayo
 
Mimi sina Connection, Sina ndugu yoyote Polisi, GPA yangu ni 3.0, sijui watauliza maswali gani, sijui wana mazoezi gani, mtaani sijafanya na sifanyi mazoezi ya aina yoyote ile ila nakuhakikishia CCP naenda 100% Sitegemei bahati,sibahatishi, Sina hofu, Sina wasi wasi, sihangaiki na notes zozote, sisomi popote, Siulizi mtu wala mahali popote kuhusu usaili utakuwaje, Sitajichosha najiamini nitajibu ninachokijua tu ila mwisho wa siku tutakutana CCP! Piga screenshot hii message PDF ikitoka tuje hapa kuleta ushuhuda!
 
Back
Top Bottom