Mimi sina Connection, Sina ndugu yoyote Polisi, GPA yangu ni 3.0, sijui watauliza maswali gani, sijui wana mazoezi gani, mtaani sijafanya na sifanyi mazoezi ya aina yoyote ile ila nakuhakikishia CCP naenda 100% Sitegemei bahati,sibahatishi, Sina hofu, Sina wasi wasi, sihangaiki na notes zozote, sisomi popote, Siulizi mtu wala mahali popote kuhusu usaili utakuwaje, Sitajichosha najiamini nitajibu ninachokijua tu ila mwisho wa siku tutakutana CCP! Piga screenshot hii message PDF ikitoka tuje hapa kuleta ushuhuda!