Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Mimi sina Connection, Sina ndugu yoyote Polisi, GPA yangu ni 3.0, sijui watauliza maswali gani, sijui wana mazoezi gani, mtaani sijafanya na sifanyi mazoezi ya aina yoyote ile ila nakuhakikishia CCP naenda 100% Sitegemei bahati,sibahatishi, Sina hofu, Sina wasi wasi, sihangaiki na notes zozote, sisomi popote, Siulizi mtu wala mahali popote kuhusu usaili utakuwaje, Sitajichosha najiamini nitajibu ninachokijua tu ila mwisho wa siku tutakutana CCP! Piga screenshot hii message PDF ikitoka tuje hapa kuleta ushuhuda!
CHAI CHAI…..wakuu iyo ni chai tena ya tangawizi
 
Tatizo lako ni hapo unapofikiri mtu akikosa kazi ya Upolisi basi atabaki nyumbani yani ndo maisha yake yataishia hapo [emoji3][emoji3][emoji3] kwani lazima upolisi? Sijui ndo wewe ulisema umeapply mara 8 ukakosa?kama ni wewe na Kama bado huna mishe nyingine ya kufanya unategemea upolisi basi nikwambie tu Ukweli mchungu inaenda kuwa mara ya Tisa unakosa nafasi! Amini kwamba
Du aisee nimesoma ugomvi wenu nimeona jamaa ana negative mindset ya kutotoboa ndyo maana anashauri watu kutumia vyeti vya form 4 wakati Wana elimu kubwa.Kwa mtazamo huu Kaka huyu jamaa anaweza akakosa mara ya 9 hata kama aliandikiwa atapata.What you think is what you attract.
 
Kama Ni Bachelor Ya Civil Jiandae Kwa Oral Interview hasa utaulizwa maswali mbalimbali yanayohusu Construction, pia maswali ya Tools mbalimbali za Autocad na jinsi ya kuzitumia....

Pia uwe Na Idea Ya Kutumia AUTOCAD Na Protastructure Maana Mtapewa Mchoro kisha Mchore kwa dakika 10 au zaidi...


All the best Mkuu...
Shukran mkuu
Prota unapewa udesign au?
 
Tatizo lako ni hapo unapofikiri mtu akikosa kazi ya Upolisi basi atabaki nyumbani yani ndo maisha yake yataishia hapo 😀😀😀 kwani lazima upolisi? Sijui ndo wewe ulisema umeapply mara 8 ukakosa?kama ni wewe na Kama bado huna mishe nyingine ya kufanya unategemea upolisi basi nikwambie tu Ukweli mchungu inaenda kuwa mara ya Tisa unakosa nafasi! Amini kwamba
acha kujikweza unakazi nzuri au uwezo wa kuipata ndo upeleke vinyanya mshenzi kwenye laki saba sasa wewe aliyekwambia ukaemtaani nani ci maamuzi yako mimi nimeanza kuomba military organs zingine sio polisi na jkt ndo kilikua kikwazo polisi nimeomba mwakahuu na nimeitwa mimi nakwambia ukweli sio muigizaji Kama wewe na usilolojua kwa fani yangu naweza nikaingia polisi na nisiwe polisi ukanikuta kwingine muulize huyo mbanga bwabwa atakwambia😅😅😅😅
 
acha kujikweza unakazi nzuri au uwezo wa kuipata ndo upeleke vinyanya mshenzi kwenye laki saba sasa wewe aliyekwambia ukaemtaani nani ci maamuzi yako mimi nimeanza kuomba military organs zingine sio polisi na jkt ndo kilikua kikwazo polisi nimeomba mwakahuu na nimeitwa mimi nakwambia ukweli sio muigizaji Kama wewe na usilolojua kwa fani yangu naweza nikaingia polisi na nisiwe polisi ukanikuta kwingine muulize huyo mbanga bwabwa atakwambia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Vijana mnapgana vita mtasaidiana kweli kwenye mtihan
 
Natamani sana nitaje jina langu na namba zangu kabisa ila bahati mbaya kuna maafande humu isije kesho tukakmiana kisa tu comment ya Jf yenye nia ya kuchangamsha genge mtu akachukulia personal
mbio ni raundi tatu tu hazizidi mkuu utazunguka uwanja kwa makundi watakua wanakata wa mwisho kila kundi na hakuna hata atakepigwa doso askari wanajua hamjapimwa afya bado kitakacho tuua ni kukaa huku tumekunja miguu kwa mstari hadi siku usaili unaisha kwa wale wa taaluma mbio hakuna kuna written exam ya fani yako,then oral,then practical kwa fani kama Cyber na ICT then mwisho afya na kusubili majibu kama unafani kusoma muhimu sikutanii
 
Wakuu za ndaaaani kabisa kesho mnaweza mkafika kwenye Usaili na msifanye chochote mkashinda tu hapo bila issue yoyote ile, na keshokutwa pia inaweza ikawa hivyo hivyo, hata j5 pia inaweza kuwa hvyo lengo Msusie mkasirike msije muwe mmeshajipunguza! Kwahyo kuweni wavumilivu kazeni, hata kama wakisema subirini mpaka usiku komaeni hapo hapo hata kama ikiwa wiki ijayo wewe amka asubuhi timba mzigoni hakuna kurudi nyuma wazee
 
Back
Top Bottom