Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

unaweza ukawa na wakukushika mkono lakin kuna muda mbanga zinazidiana kwahyo nikuomba mungu tu kwanza mkuu
RY2199 una moto sana na Depo,una uhakika wa kuwepo kwenye PDF??unaye wa kukushika mkono??
 
Mm kila nikikumbuka kauli ya afande watu waliomsikia akiongea kweny cm kua “mkeka wakubwa washaubariki siwez ongeza mtu” ndo naishiwa pozi
 
RY2199 una moto sana na Depo,una uhakika wa kuwepo kwenye PDF??unaye wa kukushika mkono??
Huyu jamaa mimi nina walakini nae sana toka amejeunga JF huo ndio uzi pekee anao comment na kufuatilia, either kweli yupo super interested au analake jambo.
 
Mwamba mahita alicheza kama pele apo😁…..ila wakushukuriwa sna ni uyo msaidizi wake aisee
 
Mm nachosikitika zaid ni huyu jamaa alieanzisha huu uzi mpka leo kimya ivi yupo wap?….yupo kwel maana mara ya mwisho alikua anasema anaumwa mgongo🤔 Kimnjemo
 
Huyu jamaa mimi nina walakini nae sana toka amejeunga JF huo ndio uzi pekee anao comment na kufuatilia, either kweli yupo super interested au analake jambo.
Sababu iliyofanya useme hivi ndio sababu inayofanya hadi leo nchi yetu iko salama ila sijui ni sababu gani😁😁😁😁
 
Kwa nilivyoisoma iyo ratiba nafkr ni kwamba haituhusu, iyo ni ratiba ya askari ambao wanapandishwa vyeo so lazima waende kozi kabla ya kupanfishwa vyeo
Hiyo ni watu 5000 ndo waliopita usaili mzima?! Bara na visiwani?! Degree mpaka form 4 ?!
 
Kwa nilivyoisoma iyo ratiba nafkr ni kwamba haituhusu, iyo ni ratiba ya askari ambao wanapandishwa vyeo so lazima waende kozi kabla ya kupanfishwa vyeo
Umesoma hapo kwenye recruits 5000... kuruta ni nyie
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Kwa ajili ya umasikini muende tu huko,ila mkirudi mnakuwa mmepoteza utu, mnakuwa kama vitukuu vya SHETANI,
kwa ajili ya umasikini muende,ila si mapenzi yangu watoto wetu kuwa polisi kwenye nchi masikini ambazo siasa ni ajira na miladi ya wafanyabiashara ! Polisi wanatumika vibaya sana, na wao wanabadilika haraka sana kiasi wanahisi ni kama wao siyo sehemu ya jamii, ukiwa raia unakuwa deal kwa polisi, ndio ajira za watoto wa masikini ,Hamna namna,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…