Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

unaweza ukawa na wakukushika mkono lakin kuna muda mbanga zinazidiana kwahyo nikuomba mungu tu kwanza mkuu
RY2199 una moto sana na Depo,una uhakika wa kuwepo kwenye PDF??unaye wa kukushika mkono??
 
Mm kila nikikumbuka kauli ya afande watu waliomsikia akiongea kweny cm kua “mkeka wakubwa washaubariki siwez ongeza mtu” ndo naishiwa pozi
 
Hawakunimind maana niliandika Notice ya kuacha kazi ndani ya masaa 24 nikarudisha Mshahara wao wa mwezi mmoja na Uniform zao nikasepa. Mtiti ulikuwa kupata ruhusa kwenda Chuo maana wakubwa wote Makao Makuu walikataa kusaini Fomu yangu maana walikuwa wanasema inakuaje Konstebo sijamaliza hata miaka miwili kazini nipewe ruhusa kwenda kusoma Degree😄Nilipambana kwelikweli nikagonga mwamba.Siku ya mwisho(kumbuka Chuo kimefungua Septemba)na hiyo ni Novemba mimi sijapata ruhusa. Kila nikienda kwa Makamishna pale Makao Makuu wananipiga mikwala na kunifokea kunikimbiza. Siku ya mwisho nikasema liwalo na liwe naenda kumuona Mzee wa Ngunguli IGP Mahita liwalo na liwe. Nikaibuka pale HQ saa 12 asubuhi,IGP alipoingia tu Msafara wake nikusubiri kaingia ofisini kwake mimi nikaenda kumuona Aide wake(Msaidizi wake)alikuwa anaitwa Diwani Athuman(ambaye baadaye alikuja kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na kisha Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa)akaondolewa na Mama Samia mwaka jana nadhani,nikamueleza suala langu(kipindi hiko akiwa Msaidizi wa IGP alikuwa na Nyota Tatu au ASP).Huwa namshukuru mpaka leo,maana alichukua Barua yangu ya kuitwa Chuo,akanishika mkono akaniingiza Ofisini kwa IGP(kumbuka Konstebo kama mimi kuingia ofisini kwa IGP tena Mahita uoga nilikuwa nao si wa kitoto).Akamueleza IGP suala langu na jinsi Makamishna wanavyozingua kunipa ruhusa.Mwamba IGP alimpiga simu moja tu kwa Kamishna gani sijui yule alikuja na Faili langu kalishika mkononi.Akamwambia nataka huyu Askari apate ruhusa yake ndani ya dakika 3 aondoke kwenda Chuo😄sikuamini masikio yangu

Hawakunimind maana niliandika Notice ya kuacha kazi ndani ya masaa 24 nikarudisha Mshahara wao wa mwezi mmoja na Uniform zao nikasepa. Mtiti ulikuwa kupata ruhusa kwenda Chuo maana wakubwa wote Makao Makuu walikataa kusaini Fomu yangu maana walikuwa wanasema inakuaje Konstebo sijamaliza hata miaka miwili kazini nipewe ruhusa kwenda kusoma Degree😄Nilipambana kwelikweli nikagonga mwamba.Siku ya mwisho(kumbuka Chuo kimefungua Septemba)na hiyo ni Novemba mimi sijapata ruhusa. Kila nikienda kwa Makamishna pale Makao Makuu wananipiga mikwala na kunifokea kunikimbiza. Siku ya mwisho nikasema liwalo na liwe naenda kumuona Mzee wa Ngunguli IGP Mahita liwalo na liwe. Nikaibuka pale HQ saa 12 asubuhi,IGP alipoingia tu Msafara wake nikusubiri kaingia ofisini kwake mimi nikaenda kumuona Aide wake(Msaidizi wake)alikuwa anaitwa Diwani Athuman(ambaye baadaye alikuja kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na kisha Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa)akaondolewa na Mama Samia mwaka jana nadhani,nikamueleza suala langu(kipindi hiko akiwa Msaidizi wa IGP alikuwa na Nyota Tatu au ASP).Huwa namshukuru mpaka leo,maana alichukua Barua yangu ya kuitwa Chuo,akanishika mkono akaniingiza Ofisini kwa IGP(kumbuka Konstebo kama mimi kuingia ofisini kwa IGP tena Mahita uoga nilikuwa nao si wa kitoto).Akamueleza IGP suala langu na jinsi Makamishna wanavyozingua kunipa ruhusa.Mwamba IGP alimpiga simu moja tu kwa Kamishna gani sijui yule alikuja na Faili langu kalishika mkononi.Akamwambia nataka huyu Askari apate ruhusa yake ndani ya dakika 3 aondoke kwenda Chuo😄sikuamini masikio yangu.Huwa namshukuru sana Afande Mahita na Diwani mpaka leo kwa msaada ule
Mwamba mahita alicheza kama pele apo😁…..ila wakushukuriwa sna ni uyo msaidizi wake aisee
 
Mm nachosikitika zaid ni huyu jamaa alieanzisha huu uzi mpka leo kimya ivi yupo wap?….yupo kwel maana mara ya mwisho alikua anasema anaumwa mgongo🤔 Kimnjemo
 
Huyu jamaa mimi nina walakini nae sana toka amejeunga JF huo ndio uzi pekee anao comment na kufuatilia, either kweli yupo super interested au analake jambo.
Sababu iliyofanya useme hivi ndio sababu inayofanya hadi leo nchi yetu iko salama ila sijui ni sababu gani😁😁😁😁
 
Kwa nilivyoisoma iyo ratiba nafkr ni kwamba haituhusu, iyo ni ratiba ya askari ambao wanapandishwa vyeo so lazima waende kozi kabla ya kupanfishwa vyeo
Hiyo ni watu 5000 ndo waliopita usaili mzima?! Bara na visiwani?! Degree mpaka form 4 ?!
 
Kwa nilivyoisoma iyo ratiba nafkr ni kwamba haituhusu, iyo ni ratiba ya askari ambao wanapandishwa vyeo so lazima waende kozi kabla ya kupanfishwa vyeo
Umesoma hapo kwenye recruits 5000... kuruta ni nyie
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Kwa ajili ya umasikini muende tu huko,ila mkirudi mnakuwa mmepoteza utu, mnakuwa kama vitukuu vya SHETANI,
kwa ajili ya umasikini muende,ila si mapenzi yangu watoto wetu kuwa polisi kwenye nchi masikini ambazo siasa ni ajira na miladi ya wafanyabiashara ! Polisi wanatumika vibaya sana, na wao wanabadilika haraka sana kiasi wanahisi ni kama wao siyo sehemu ya jamii, ukiwa raia unakuwa deal kwa polisi, ndio ajira za watoto wa masikini ,Hamna namna,
 
Back
Top Bottom