Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Daaaa CCP Moshi kuamka saa nane usiku,.Maafande hawa Pandu, Frank, Petro, Simtowe na Fimbo ya Musa hatariii sanaaa.Wadogo za ngu jipangeni kule ni nidhamu, utii, weledi na uvumilivu
 
Sawa mkuu….mbona umenitisha kdgo mkuu kweny hao maafande….embu tuambie kdgo mkuu wakoje hao maafande mletele bondeni

Barabara kabisa... Hao ni Maafande wa kazi ila ukishaingia CCP ujue kabisa ni nginja nginja mpela mpela issue kubwa ni uvumilivu na kujua kwamba "LEO NI SIKU NA LAZIMA ITAISHA"

USIKATE TAMAA... Mabio saa 8 Usiku utaamka na lazima pakuche siku iendelee, Maafande hawana shida na mtu timiza WAJIBU wako upate utawala uendelee na issue zako nyingine
 
Ni mwendo wa nginja nginja📌📌

Hawana shida kabisa. Kikubwa ufate maelekezo tu. kile ni chuo kizuri sanaa ukichaguliwa tu jua utasoma sheria kama vile CPA, katiba, Evidence Act na nyingine za polisi but kozi yao nzurii na michezo pia ipo na wanajali sana imani kuna churches na msikiti pia.
 
Mambo ya kilele pori viip😀!?? Tupe na za hukoo
 
Anhaa shukran mkuu….alaf eti nmeskia baada ya kumaliza kula chakula cha jion saa12 kuanzia apo kuruta mnakula utawala mpka kuja kuamka iyo saa8 kwenda mabio vip hii ni kweli eti?? Mercenary2013 mletele bondeni
Hawana shida kabisa. Kikubwa ufate maelekezo tu. kile ni chuo kizuri sanaa ukichaguliwa tu jua utasoma sheria kama vile CPA, katiba, Evidence Act na nyingine za polisi but kozi yao nzurii na michezo pia ipo na wanajali sana imani kuna churches na msikiti pia.
aa
 
Wakuu leo ndo tareh15 lakin uko kweny page za polisi hamna kitu, sema nimeskia kwa sasa kuna mkutano wa maofsa wa jeshi la polisi ambao kwa sasa unafanyika kule chuoni ccp na tareh17 ndo kuna sherehe ya kuazimisha miaka60 ya jeshi la polisi pale ccp…..sasa nafkr ndo wanasubir mpka sherehe iishe then ndo wamwage pdf….kwahyo tuendelee tu kusubir wakuu
 
Back
Top Bottom