Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara Baada ya chakula cha usiku saa 12 jioni kuna utawala kidogo ila kuanzia saa 2 usiku hadi saa 4 Inategemea Na Afande wa zamu wa Kombania anaweza kuwa folenisha katika SMALL SQUARE Tayari Kwa Ajili Ya LOKOO pamoja na matangazo mbalimbali ya siku inayofata.Anhaa shukran mkuu….alaf eti nmeskia baada ya kumaliza kula chakula cha jion saa12 kuanzia apo kuruta mnakula utawala mpka kuja kuamka iyo saa8 kwenda mabio vip hii ni kweli eti?? Mercenary2013 mletele bondeni
aa
Sorry not mambosasa….ni DCP wilbrod mtafungwaNamuona mwamba DCP henry mwaibambe na mwenzake mambosasa, apo wakiwa kweny mkutano uko ccp……leo ni siku ya4 mkutano unaendelea
Shukran sana mkuu maelezo yameshiba🤝🤝Mara Baada ya chakula cha usiku saa 12 jioni kuna utawala kidogo ila kuanzia saa 2 usiku hadi saa 4 Inategemea Na Afande wa zamu wa Kombania anaweza kuwa folenisha katika SMALL SQUARE Tayari Kwa Ajili Ya LOKOO pamoja na matangazo mbalimbali ya siku inayofata.
ANGALIZO: Usiku huo wa LOKOO unaweza kuwa mzuri au mbaya mfano kama mliharibu kazi mnaweza kukesha hapo hadi muda wa mabio saa 8 au kupata adhabu mbalimbali kisha mkalale.
PIA kutokutimia kwa idadi ya watu wa PLATOON yenu inaweza sababisha kuchelewa kwenu kulala hadi watu watimie muhimu wakati wa usiku mtimie kwa idadi sawa na platoon yenu.
Ni kwamba official information kuwa sio Leo Tena had sherehe ziishe ? Au still anytime from now inaweza pdf kutoka 🙏Wakuu leo ndo tareh15 lakin uko kweny page za polisi hamna kitu, sema nimeskia kwa sasa kuna mkutano wa maofsa wa jeshi la polisi ambao kwa sasa unafanyika kule chuoni ccp na tareh17 ndo kuna sherehe ya kuazimisha miaka60 ya jeshi la polisi pale ccp…..sasa nafkr ndo wanasubir mpka sherehe iishe then ndo wamwage pdf….kwahyo tuendelee tu kusubir wakuu
We jamaa bana unavyopeleleza utafikiri unajambo kumbe ujana tu unakusumbua kaka 😀😀😀😀😀Ndo kwa mara ya kwanza naona askari wa rank and files kavaa uniform ambayo haina namba upande wa kulia na jina Tanzania upande wa kushoto kifuani….vp mkuu unaweza kunielezea vzr kua hawa ni askari wa aina gani ambao uniform zao hazina namba mkuu? Mercenary2013
Afu uwe unaeka source hasa ukiweka picha za mtu ambae hana taarifa kuwa umempostNdo kwa mara ya kwanza naona askari wa rank and files kavaa uniform ambayo haina namba upande wa kulia na jina Tanzania upande wa kushoto kifuani….vp mkuu unaweza kunielezea vzr kua hawa ni askari wa aina gani ambao uniform zao hazina namba mkuu? Mercenary2013
We jamaa bana unavyopeleleza utafikiri unajambo kumbe ujana tu unakusumbua kaka 😀😀😀😀😀
Jamani za chini chini kwamba pdf mda wowote mjiandae kulipokeaaNi kwamba official information kuwa sio Leo Tena had sherehe ziishe ? Au still anytime from now inaweza pdf kutoka 🙏
😂😂😂kaka pdf linatoka wiki hii tukapambane najua lazima tutakutana ccp(amini nachokwambia) pia kunasiku utajua kwanini nimekutania hivyo usihisi negative ukitaka kuwa kamanda hata matusi hasa ya nguoni uyaone mziki ila usiyatumieSawa mkuu ujana unanisumbua
Jamani Mungu nibariki mimi jina langu Liwepo Aaamina🙏Jamani za chini chini kwamba pdf mda wowote mjiandae kulipokeaa
kila la kheri msalimie kyaliga kakaJamani Mungu nibariki mimi jina langu Liwepo Aaamina🙏
kila la kheri msalimie kyaliga kaka
Nikifika uko Salam zimefika brokila la kheri msalimie kyaliga kaka
So Kesho tutegemee PDF kuachiliwa Mkuu..?? 🥺🥴Namba Moja mgeni rasmi kesho CCP kwenye sherehe za miaka 60 ya PT ....madogo wa depo nimeona clip wako rehesle ya paredi
Hivi idadi kamili ya wanao hitajika ni 3,000 or 5,000..?Ni kwamba official information kuwa sio Leo Tena had sherehe ziishe ? Au still anytime from now inaweza pdf kutoka 🙏