Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Usikariri mkuu….ingekua mwezi10 wanatoa tena bac wasingechukua watu5 pia mpka mda huu tusingekua kitaa, tungekua tushaingia ccp kitambo
HAhahaaah hivi vituu havihitajii mihemkoo hioo kakaa...!! We broo ushamezwa na fever ya Ccp kama jina lako lipo ,,lipoo tu we subiri kwenda....we unafkiri ni swala la kuamka tu na kutoa majinaa watu kwendaa!? Ikiwa hujaandaliwa mazingira ya kuishi hukoo
 
Tulia mkuu hamna mweny mihemko wala alie mezeshwa apa, tulia watu tukupe za ndani…..huna data
HAhahaaah hivi vituu havihitajii mihemkoo hioo kakaa...!! We broo ushamezwa na fever ya Ccp kama jina lako lipo ,,lipoo tu we subiri kwenda....we unafkiri ni swala la kuamka tu na kutoa majinaa watu kwendaa!? Ikiwa hujaandaliwa mazingira ya kuishi hukoo
 
Sawaa kakaa we dataa unazoo😀😀😀😂😂
Habar jamn mi naomba kuuliza hivi hao watakao maliza mwezi ujao watakua na muda wa kwenda likizo na ya siku ngapi? Au wakipangiwa moja Kwa moja ni kulipoti kwenye kituo?
 
jamani habari naomba kuuliza kama ikitokea umechaguliwa, kule vinahitajika vifaaa gani yaani nitatakiwa kuwa na nini? Pia nasikia kuna posho muda wa kozi ni bei gani?
 
Subir tangazo la kuitwa ccp hua linajieleza kila kitu mkuu
jamani habari naomba kuuliza kama ikitokea umechaguliwa, kule vinahitajika vifaaa gani yaani nitatakiwa kuwa na nini? Pia nasikia kuna posho muda wa kozi ni bei gani?
 
Habar jamn mi naomba kuuliza hivi hao watakao maliza mwezi ujao watakua na muda wa kwenda likizo na ya siku ngapi? Au wakipangiwa moja Kwa moja ni kulipoti kwenye kituo?
Polisi ni tofauti na majeshi mengine hamna likizo ni moja kwa moja Kwenda kuripoti kituoni na kutakuwa na mazoezi mengine ya Utayari ya miezi miwili mkoani baada ya hiyo miezi ndo utaenda WILAYANI, KIKOSINI AU RPC kuanza kazi.

Mfano depo Lililopita PCCB/TAKUKURU walipewa wiki 2 za mapumziko pindi tu walipohitimu....

Polisi likizo halali ni baada ya miaka 3 kwa waajiriwa wapya ama namna Kituo chako kitakavyopanga kuona ni vema askari wapumzike kutokana na uhitaji wa wakati huo...
 
Duh!! Noted mkuu

Polisi likizo halali ni baada ya miaka 3 kwa waajiriwa wapya ama namna Kituo chako kitakavyopanga kuona ni vema askari wapumzike...
 
Polisi ni tofauti na majeshi mengine hamna likizo ni moja kwa moja Kwenda kuripoti kituoni na kutakuwa na mazoezi mengine ya Utayari ya miezi miwili mkoani baada ya hiyo miezi ndo utaenda WILAYANI, KIKOSINI AU RPC kuanza kazi.

Mfano depo Lililopita PCCB/TAKUKURU walipewa wiki 2 za mapumziko pindi tu walipohitimu....

Polisi likizo halali ni baada ya miaka 3 kwa waajiriwa wapya ama namna Kituo chako kitakavyopanga kuona ni vema askari wapumzike kutokana na uhitaji wa wakati huo...
Hivi wenye fani huko huwa wanafavour gani tofaut na wasio na fani...Mfano hayo mazoez ya utayar ni police wote hadi wenye fani au wenye fani wataendelea na kazi zao kulingana na fani zao??
 
Habar jamn mi naomba kuuliza hivi hao watakao maliza mwezi ujao watakua na muda wa kwenda likizo na ya siku ngapi? Au wakipangiwa moja Kwa moja ni kulipoti kwenye kituo?
Mwenye fani na asiye na fani wote pared n lazima..kumbuka kazi na ya upolisi..fani uliyonayo ni extra..kwa mfano kikosi cha ufundi kilwa road wao japokuwa wana fani za ufundi lkn huwa wanaingia pared ama mazoezi ya utayali kwa wiki mara moja
 
Wakuu ukitaka usiwe ffu unafanyaje yani uwe kitengo cha wale wanaovaa kaki sio mpelelezi wala trafic police unafanyaje au watagawa kwenye mafunzo wenye data mtusaidie
 
Back
Top Bottom