Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Si wote ni wauaji ndugu pia ukikaa ukatulia hamna wakukudhuru nakuhakikishia mdomo ndio unaponza baadhi ya watu sio wote ni wabaya
Mnatutisha wengine tukiona polisi siku hizi hatuna amani kabisa tunajua muda wowote tunatiwa kwenye tenga
 
Hivi wenye fani huko huwa wanafavour gani tofaut na wasio na fani...Mfano hayo mazoez ya utayar ni police wote hadi wenye fani au wenye fani wataendelea na kazi zao kulingana na fani zao??
Wote Mazoezini Kama Kawaida Issue Ya Fani Ni Hadi Mazoezi Ya Utayari Yaishe Kabisa...
 
Nilikua nataman sana kuwa qskari wa zimamoto au uhamiaji ila kupata ngumu sana hasa kwa fani we acha mkuu mambo magumu
Zimamoto Nafasi Huwa Hazizidi 200, Uhamiaji Nako Kugumu Sana Nafasi Hazizidi 600....

Kama bado una ndoto za Majeshi endeleza mapambano katika nafasi za POLISI maana chance ya kupata bado ni kubwa na wanahitajika sana tofauti na Majeshi mengineyo.
 
Wakuu ukitaka usiwe ffu unafanyaje yani uwe kitengo cha wale wanaovaa kaki sio mpelelezi wala trafic police unafanyaje au watagawa kwenye mafunzo wenye data mtusaidie
Vitengo Vyote hivo askari wanachaguliwa kutokana na PDF la mwisho mtakapokuwa mnasomewa vituo na majukumu ya kazi...

Ila mkifika mkoani pia kutokana na uhitaji wa Kituo au mkoa unaweza kubadilishwa kitengo... NI MAELEKEZO TU
 
Back
Top Bottom