Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Habari mkuu, kwa mtu alieombea kazi ya polisi kwa cheti cha FORM SIX OR CERTIFICATE HILA ana DEGREE .Utaratibu hupoje baada ya kupata ajira .Atatambulikaje kama ana DEGREE,ANARUHUSIWA KULETA CHETI? NA HATUA ZIPI ANAFATA,PIA NI BAADA YA MDA GANI UNARUHUSIWA KULETA HIKO CHETI CHA DEGREE . (PIA UNASHURI NINI KWA WATU WA NAMNA HIYO)
Upo Sahihi kabisa mkuu Mashirika Ya Umma Yako Vizuri... Posho Pamoja Na Mishahara Ni kitu ambacho hata upewe kiasi gani Hauwezi kutosheka na shida haiwez kuisha itapungua tu....

Majeshini huku ni uzalendo mwingi, Muda mwingi Askari wapo kazini kupambana....

Ukiwa Majeshini lazima ukumbuke kwamba kuna maisha baada ya Jeshi pambana kutafuta opportunity nyingine nje ya Jeshi, jiwekeze kwa Biashara hata elimu zaidi.
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Aisee unataka ajira hizo za kwenda kuumiza watu?
 
Habari mkuu, kwa mtu alieombea kazi ya polisi kwa cheti cha FORM SIX OR CERTIFICATE HILA ana DEGREE .Utaratibu hupoje baada ya kupata ajira .Atatambulikaje kama ana DEGREE,ANARUHUSIWA KULETA CHETI? NA HATUA ZIPI ANAFATA,PIA NI BAADA YA MDA GANI UNARUHUSIWA KULETA HIKO CHETI CHA DEGREE . (PIA UNASHURI NINI KWA WATU WA NAMNA HIYO)
Nasikia ni baadae ya miaka 3 ndo unaweza peleka vyeti vyako wakaupdate
 
Assalam Alleykum
Bogi la kwanza wataripoti 27/09/2024.. Hizi ni habari za uhakika kabisa so anyday kuanzia leo kesho PDF litatoka na wakuu washalibariki.

Bogi la pili litakuwa 04/11/2024 na Bogi la tatu ni 10/02/2025 (hizi nafasi zitatangazwa mwshoni mwa mwaka huu) wa UT nao jiandaeni mwezi ujao watu wanahitimu na mwsho wa mwaka nafasi zinatangazwa lkn km kawaida ni finyu na ni za kujuana hakuna mfano
Kuna siku nimesema humu kua kuna nafasi zingine watatoa mwezi wa 10 basi kuna raia akaibukaa "Ooh umekariri mara eti sina data😀" aisee bora Mkuu nawewe umewaletea hio lonjaa...nataka niwaeleze kitu wanangu mkipewa lonja jaribuni kufatlia we ukiona miyeyusho unaikaushiaa atakae amua kuchukua na achukue ili ajipange inaweza kumsaidia Au Laaah sio kuanza critisizim ikiwa huna facts🙌.
 
🙄🙄🧐

Back
Top Bottom