Mercenary2013
Senior Member
- Dec 24, 2013
- 105
- 171
Zipo.... CCP Muda wote ni nginja ngija tuPosho inaweza kuwa bei gani na je kipindi cha sikuku mnapewa muda wa kusherekea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo.... CCP Muda wote ni nginja ngija tuPosho inaweza kuwa bei gani na je kipindi cha sikuku mnapewa muda wa kusherekea?
Kila mtu ana njia ya kupambana kufikia lengo, yeye kaamini huko ila kuna Raia ye kaomba tu na atachaguliwaaaaVijana msiache kuomba sana Mungu.
Binafsi nimebahatika kusikia maongezi ya simu ya mtu wangu wa karibu (mshikaji wa kazini) kwa bahati mbaya.
Nakumbuka vizuri aliulizwa kama yuko tayari kwenda kozi ya POLISI nafasi zimebaki 3.
Jamaa aliikataa lakini bado najiuliza kuna watu kama hawa wangapi wanaopeana nafasi kama chumvi.
Eneweiz msiache kuombea mapambano yenu. Kila la heri kwenu wapambanaji.
Ndugu Mercenary2013,Polisi mmeendelea,nasikia cha kati sasa hivi mnalipwa Laki Tatu. Mimi wakati naacha kazi 2007 ilikuwa 100,00 kama sikosei. Yote kwa yote nilipoacha kazi Polisi na kwenda kuajiriwa sehemu nyingine ndio nilishangaa kuona Maofisa wengine wa Serikali wanavyolipwa vizuri na kula good time wakati Muajiri ni mmoja(Serikali),kuna gape kubwa sana la Mishahara kati ya Vyombo vya Ulinzi na Taasisi nyingine za Serikali hasa MashirikaVitengo Vyote hivo askari wanachaguliwa kutokana na PDF la mwisho mtakapokuwa mnasomewa vituo na majukumu ya kazi...
Ila mkifika mkoani pia kutokana na uhitaji wa Kituo au mkoa unaweza kubadilishwa kitengo... NI MAELEKEZO TU
Imagine ww unasubir pdf alaf kuna mwenzako anaulizwa kama anahitaj kuingia polisi nafasi zimebaki3…….Hahahahah vijana wa humu ndani tufanyeni tujikite sna kweny kufanya mishe nyingne aisee huku ukiweka hii ajira ya polisi kama kitu cha ziada usiweke tegemeo sana maana mwisho wa siku itakuja kua maumivu ikitokea haumo kweny pdf la mwisho.Vijana msiache kuomba sana Mungu.
Binafsi nimebahatika kusikia maongezi ya simu ya mtu wangu wa karibu (mshikaji wa kazini) kwa bahati mbaya.
Nakumbuka vizuri aliulizwa kama yuko tayari kwenda kozi ya POLISI nafasi zimebaki 3.
Jamaa aliikataa lakini bado najiuliza kuna watu kama hawa wangapi wanaopeana nafasi kama chumvi.
Eneweiz msiache kuombea mapambano yenu. Kila la heri kwenu wapambanaji.
Upo Sahihi kabisa mkuu Mashirika Ya Umma Yako Vizuri... Posho Pamoja Na Mishahara Ni kitu ambacho hata upewe kiasi gani Hauwezi kutosheka na shida haiwez kuisha itapungua tu....Ndugu Mercenary2013,Polisi mmeendelea,nasikia cha kati sasa hivi mnalipwa Laki Tatu. Mimi wakati naacha kazi 2007 ilikuwa 100,00 kama sikosei. Yote kwa yote nilipoacha kazi Polisi na kwenda kuajiriwa sehemu nyingine ndio nilishangaa kuona Maofisa wengine wa Serikali wanavyolipwa vizuri na kula good time wakati Muajiri ni mmoja(Serikali),kuna gape kubwa sana la Mishahara kati ya Vyombo vya Ulinzi na Taasisi nyingine za Serikali hasa Mashirika
Mkuu umenisaidia sana hujui tu,mimi naomba mungu nipate nina taalum ya IT ila nimeombea form six Mungu wa mbinguni akinisikia nitaenda kusoma professional certifications za IT Mfano CCNA,CEH nikizipate zile nimiezi sita kwa ada kama mil2 hiv natafuta kazi za MDH au Amref au asasi kama hizo ila kuna mtu alielezea kua haiwezekani kuacha hii job na hata ukiacha hutaingia tena serekalini nikashangaaNdugu Mercenary2013,Polisi mmeendelea,nasikia cha kati sasa hivi mnalipwa Laki Tatu. Mimi wakati naacha kazi 2007 ilikuwa 100,00 kama sikosei. Yote kwa yote nilipoacha kazi Polisi na kwenda kuajiriwa sehemu nyingine ndio nilishangaa kuona Maofisa wengine wa Serikali wanavyolipwa vizuri na kula good time wakati Muajiri ni mmoja(Serikali),kuna gape kubwa sana la Mishahara kati ya Vyombo vya Ulinzi na Taasisi nyingine za Serikali hasa Mashirika
Mkuu hio laki 6 ni take home au ni basic?Nadhani sasa hivi wanalipwa kwa kiwango cha Elimu,nina dogo ana Diploma lakini ni Constable hivyo analipwa Laki 6,lakini Constable wenzake wasio na Diploma wanalipwa chini ya hapo,lakini posho ya Laki Tatu ni kwa Askari wote bila kujali Cheo wala Elimu
kwa hiyo ni kwa mwezi ndo wanapokea laki 6 na laki 3 ya posho wa diploma ni hivyo tu?!Nadhani sasa hivi wanalipwa kwa kiwango cha Elimu,nina dogo ana Diploma lakini ni Constable hivyo analipwa Laki 6,lakini Constable wenzake wasio na Diploma wanalipwa chini ya hapo,lakini posho ya Laki Tatu ni kwa Askari wote bila kujali Cheo wala Elimu
So laki 9 kwa mwezi … sio mbaya … nasikia pia kuna other pay malipo nje ya hizo kama kitengo nk… is it true ?!Ndio hivyo dogo,Mshahara unatofautiana kulingana na Cheo na Elimu,lakini posho ya Laki Tatu ni kwa Askari wote(inaitwa Ration Allowance). Nadhani uzuri ni uwepesi wa kupata mikopo Bank unakuwa unakatwa kidogokidogo kwenye Mshahara na videal vya mtaani maisha yanaenda,kikubwa usitumie Upolisi wako kuua na kupora Mali za watu,aliyekuwa Mkuu wangu wa Upelelezi alihukumiwa kunyongwa(Kesi ya kina Zombe) ile,hivyo ni vema kuridhika na Mshahara wako na sio kulazimisha rushwa
Hii bogi ya pili inakua kama second selection hakutakua na interview sio ?Assalam Alleykum
Bogi la kwanza wataripoti 27/09/2024.. Hizi ni habari za uhakika kabisa so anyday kuanzia leo kesho PDF litatoka na wakuu washalibariki.
Bogi la pili litakuwa 04/11/2024 na Bogi la tatu ni 10/02/2025 (hizi nafasi zitatangazwa mwshoni mwa mwaka huu) wa UT nao jiandaeni mwezi ujao watu wanahitimu na mwsho wa mwaka nafasi zinatangazwa lkn km kawaida ni finyu na ni za kujuana hakuna mfano
Ndio mkuu, plus baba kansendHii bogi ya pili inakua kama second selection hakutakua na interview sio ?