Pole,kama una mkubwa wa kukushika mkono ni kwamba hawa wakisharipoti wewe unaenda na kimemo tu unapokelewa,mawasiliano yanakuwa yameshafanyika kwa Mkuu wa Chuo kule na Chief Instructor,sidhani kama kunakuwa na Official PDF la Second Selection,ni vimemo vya mmojammoja tu kwenda kuripoti,maana hata hawa waliochaguliwa sio wote wataenda kuripoti,kuna wengine tangu walipofanya Usaili watakuwa wameshapata deal sehemu nyingine,kuna wengine wamekufa,wengine wamepata ajali,wengine wamepata mimba nk,namuonea Huruma Ry2199 kama atakuwa amekosa,maana alikuwa na moto sana wa Depo