Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kwa wale mliochaguliwa hivi ni mikoa yote mmeambiwa mripoti kwa makamanda wa mkoa kesho??
 
Hivi nitoke na para langu huku au nitamaliza nikifika huko?

Vipi kuhusu nguo za kuvaa kipindi cha kureport, ni hizi za kawaida ama hizi track suit tutakazonunua?
 
Naomba kuuliza vip redio ndogo , memory card yaani vifaa vya mziki au head phone vinaruhusiwa hii ni Kwa ajili ya kusikiliza mziki hasa pale ambapo Imetokea free time
 
Naomba kuuliza vip redio ndogo , memory card yaani vifaa vya mziki au head phone vinaruhusiwa hii ni Kwa ajili ya kusikiliza mziki hasa pale ambapo Imetokea free time
Beba tu hela kwa sasa... Hapa mwanzoni wanakaza sana msitumie ila baada ya miezi kadhaa uhakika mtaruhusiwa
 
mwenye kufahamu kuhusu vifaa vya usafi mfano jembe n.k uwez kwenda nunua kulekule .
Nunua huku huku kitaa, huku kuna muda Vifaa mwanzoni vinakuwa gharama sana na utapata shida ya Upatikanaji maana uhitaji utakuwa mkubwa....

Nunua vitu uje navyo.... Hakikisha unanunua kadri ya walivyoelekeza.
 
Back
Top Bottom