Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Wakuu awamu ya pili ni lini, Alafu.. Awamu ya pili ikitokaa ina maana watu wata apply upya? Au watatuma mkekaa wa pili kwa wale walio apply mwanzo?? Nisaidiee wakuu
 
Hivi kufika kwenye gradu unashukia wapi maana Nasikia watafanyia porini na kawaida watu huwanza kuingia saa ngapi?
Porini wametoka wako mjini wale wapya wako porini ........ ilikuwa 25 mwez huu wasepe wamesogezewa muda kidogo ila mwez huu huu wa 10 maana takukuru wao 26/10
 
Wakuu awamu ya pili ni lini, Alafu.. Awamu ya pili ikitokaa ina maana watu wata apply upya? Au watatuma mkekaa wa pili kwa wale walio apply mwanzo?? Nisaidiee wakuu
Mm kw uelewa wngu hakuna Awamu ya pili.. Isipokuwa wiki ya 3 baada ya watu kuripoti wanafanyiwa vpmo wale unfit plus wale ambao hawa kuripoti nafas zao znajazwa na hapo ndo “Dingi kanisend” Mara nyingi wanapata nafasi na wale wenye mbanga za uhakka!!
LKN KM ULIFANYA USAILI BADO USIKAE MBALI NA SIMU YAKO MUDA WWTE INAWEZA KUITA
 
Hao unfit wanakutwa na nini? Mpk wanarudishwa?
 
Back
Top Bottom