Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Porini wametoka wako mjini wale wapya wako porini ........ ilikuwa 25 mwez huu wasepe wamesogezewa muda kidogo ila mwez huu huu wa 10 maana takukuru wao 26/10
Wapya wameingia Porini? Kuna mwanangu, naamini atatoboa. Hivi hawa wapya watamaliza lini? Nimeona mmesema kuna PCCB poa, je hufanya kozi moja na Polisi then hutengwa kwenye vitengo mbalimbali au utaratibu upoje?
 
Hao wapya kumaliza Hadi mwakani mzeee muda kama huuu
Wapya wameingia Porini? Kuna mwanangu, naamini atatoboa. Hivi hawa wapya watamaliza lini? Nimeona mmesema kuna PCCB poa, je hufanya kozi moja na Polisi then hutengwa kwenye vitengo mbalimbali au utaratibu upoje?
Wapya
 
Moshii Leoo imefurikaa🙌
Sana mkuu nami Niko njiani Nije kuwaona vijana kesho wakilia kiapo ......wenzao baadhi hawakupata chance mkataba jkt unakata .. . Dogo alitema usahili wa. Police akasema Ana wait tpdf ..huko tpdf kala za uso
 
Hivi hawa ambao waliochaguliwa kwenda kujiinga na polisi mwaka huu 2024 chuo cha polisi Moshi bado hawajaenda mpaka mwezi huu wa kumi au inakuaje wenye uwelewa adadavue.
 
Hii ya kubaguaa majeshii hua mbayaa sanaa kutaka Tpdf akat uhakika ni 0 sio poa
 
Upo CCP ww?
WE Ndege Tai nakumbuka nimekuona sana hapa JF kwenye threads mbalimbalii hasa zile za lonja za majeshii kuna wana walisema umetoboa upo kozii!! Hongera kwa kumaliza...vijana tunasubirii Lonja kutoka kwako utupe vitu vya uhakikaa vya hapo CCP
 
Hivi hawa ambao waliochaguliwa kwenda kujiinga na polisi mwaka huu 2024 chuo cha polisi Moshi bado hawajaenda mpaka mwezi huu wa kumi au inakuaje wenye uwelewa adadavue.

Watu washaenda na kozi imeshafunguliwa… tunasubiri second selection kama ipo
 
Back
Top Bottom