Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

WE Ndege Tai nakumbuka nimekuona sana hapa JF kwenye threads mbalimbalii hasa zile za lonja za majeshii kuna wana walisema umetoboa upo kozii!! Hongera kwa kumaliza...vijana tunasubirii Lonja kutoka kwako utupe vitu vya uhakikaa vya hapo CCP
Daaah nzuri sana hii chief
 
Hivi ni kweli kwa madogo wanaotumia vyeti vya 4m 4 na 4m 6 kuingia police mwisho 25 years au kuna wengine wanaingia na umri zaidi ya hapo?
 
Back
Top Bottom