zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Msituue tuTajiri unapata wapi muda wa kujibu wenye njaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msituue tuTajiri unapata wapi muda wa kujibu wenye njaa?
Msituteke kututesa na kutuuaAu huoni matajiri wenzio wana ajiri managers wa mitandao yao ya kijamii, au unaogopa mb za songesha zisiishe muda wake
Si wote ni wauaji ndugu pia ukikaa ukatulia hamna wakukudhuru nakuhakikishia mdomo ndio unaponza baadhi ya watu sio wote ni wabayaMsituue tu
😀😀😀we jamaa acha kuzua taharuki banaMsituteke kututesa na kutuua
Mnatutisha wengine tukiona polisi siku hizi hatuna amani kabisa tunajua muda wowote tunatiwa kwenye tengaSi wote ni wauaji ndugu pia ukikaa ukatulia hamna wakukudhuru nakuhakikishia mdomo ndio unaponza baadhi ya watu sio wote ni wabaya
Msituue na sisi tunataka kuishi nyie polisi vipi?😀😀😀we jamaa acha kuzua taharuki bana
Kwanini uogope unajihisi nini kwani una hatia gani?Mnatutisha wengine tukiona polisi siku hizi hatuna amani kabisa tunajua muda wowote tunatiwa kwenye tenga
Kuuliwa na kupotezwa nikatafutwa kila kona bila mafanikio ndio hicho mnavyofanya hukoKwanini uogope unajihisi nini kwani una hatia gani?
Sisi ni raia tu mkuu mimi ndoto za ivo nikiua nazo ila hazikutimia kua askari sasa natumia taqluma kuishi kutakucha mimi naaminMsituue na sisi tunataka kuishi nyie polisi vipi?
Wewe umesema ni Copro?Sisi ni raia tu mkuu mimi ndoto za ivo nikiua nazo ila hazikutimia kua askari sasa natumia taqluma kuishi kutakucha mimi naamin
Tumuombe Mungu tu kwa kila jambo lakini usiwe mwepesi kuhukumu kila jambo analijua MunguKuuliwa na kupotezwa nikatafutwa kila kona bila mafanikio ndio hicho mnavyofanya huko
Copro tena alooWewe umesema ni Copro?
🤝🤝Kundi la pili limeenda porini wa Awali wamerud muda wa kupata nguo za pared
Wote Mazoezini Kama Kawaida Issue Ya Fani Ni Hadi Mazoezi Ya Utayari Yaishe Kabisa...Hivi wenye fani huko huwa wanafavour gani tofaut na wasio na fani...Mfano hayo mazoez ya utayar ni police wote hadi wenye fani au wenye fani wataendelea na kazi zao kulingana na fani zao??
Bustani/GardenCcp kuna kulima ??nikimaanisha mashamba
Zimamoto Nafasi Huwa Hazizidi 200, Uhamiaji Nako Kugumu Sana Nafasi Hazizidi 600....Nilikua nataman sana kuwa qskari wa zimamoto au uhamiaji ila kupata ngumu sana hasa kwa fani we acha mkuu mambo magumu
Vitengo Vyote hivo askari wanachaguliwa kutokana na PDF la mwisho mtakapokuwa mnasomewa vituo na majukumu ya kazi...Wakuu ukitaka usiwe ffu unafanyaje yani uwe kitengo cha wale wanaovaa kaki sio mpelelezi wala trafic police unafanyaje au watagawa kwenye mafunzo wenye data mtusaidie