Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Naombeni site ya kudownload full movie free za makampuni ya movie kama universal pictures
 
asa usahili na nguo za michezo imekaaje hapo? watu waende wakiwa wamevaa nguo za michezo au wamebeba kwenye begi?
 
Weka kne bag...osiende official sana [emoji1787] inawezekana kukawa na mbio

mi nilijua watu wanaenda kwenye kambi kama jeshini! maana wiki2 ni nyingi sana isitoshe hupokelewi endapo ukichelewa hata siku1
 
mi nilijua watu wanaenda kwenye kambi kama jeshini! maana wiki2 ni nyingi sana isitoshe hupokelewi endapo ukichelewa hata siku1
Ni zaidi ya kisanga hapo waliotoka ndani ndani watajigharamia kula na pa kulala....ni huzuni sana
 
I think kutakua na kukimbiza upepo,,,!!!
Alf naulza,, iv tunatakiwa tufike saa ngap vle,,, maan kwny tangazo kam sjaona vle
 
Ushaur kam uko na chet cha std 7 uendenacho,, naskia mwaka jana kuna people zliulizwa
 
I think kutakua na kukimbiza upepo,,,!!!
Alf naulza,, iv tunatakiwa tufike saa ngap vle,,, maan kwny tangazo kam sjaona vle
Wewe unafikia wapi? Maana wengine hawajua hata usaili unafanyikia wapi, maana tangazo linasema wa kidato cha 4 na 6 usaili utakua mikoani walipoombea bile kutaja eneo husika
 
Wewe unafikia wapi? Maana wengine hawajua hata usaili unafanyikia wapi, maana tangazo linasema wa kidato cha 4 na 6 usaili utakua mikoani walipoombea bile kutaja eneo husika
Ndio hapo na mimi nashangaaaaa aiseee wana mambo ya ajabu hawa
 
Back
Top Bottom