Jax66
JF-Expert Member
- Nov 10, 2023
- 561
- 510
Kuzunguka mabio uwanja wa mpira mara8 unafikiri mchezoo😂…..nimehema kama mbwaaa kifua kimekaza nasikia harufu ya damu tuu, nimehisi harufu ya kifo leo😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]kwann mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzunguka mabio uwanja wa mpira mara8 unafikiri mchezoo😂…..nimehema kama mbwaaa kifua kimekaza nasikia harufu ya damu tuu, nimehisi harufu ya kifo leo😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23]kwann mkuu
Harakat za utafutajKuzunguka mabio uwanja wa mpira mara8 unafikiri mchezoo😂…..nimehema kama mbwaaa kifua kimekaza nasikia harufu ya damu tuu, nimehisi harufu ya kifo leo😂😂😂
Mmefanya na Pepa?Kuna watu wamemaliza jana wengine tunamaliza leo. Kilichobaki ni kusubiri sasa hilo pdf la mwisho watu wa fani mpooooo🗣️🔊🔊🔊
😂Mtupe possible sasaAhahahahah aloooh nyie kumbe ndo.mambo yana show kali hvi
Ahahahaha daaah kudadakeee hakuna possible we jiapange tu... kunywa maji ya kutosha aiseeee.. kheeeee huu mchujo wengi hawatoboi kmmke kama wakikaza hv hv weee😂Mtupe possible sasa
Maswali ya kne Pepa vpAhahahaha daaah kudadakeee hakuna possible we jiapange tu... kunywa maji ya kutosha aiseeee.. kheeeee huu mchujo wengi hawatoboi kmmke kama wakikaza hv hv weee
DuhMchujo umesubiriwa tangia saa1 asbh mpka saa2 usiku ndo pdf linakuja kutoka alooo alooo kilichotokea watu hawajaamin😂😂
ImekuajeMchujo umesubiriwa tangia saa1 asbh mpka saa2 usiku ndo pdf linakuja kutoka alooo alooo kilichotokea watu hawajaamin😂😂
KivpHapa dodoma leo umepigwa mchujo mkali sana kudadeq😂😂😂😂
Dodoma tulikua watu kama elfu3 lakin limepigwa panga moja then tukabak watu kama 300 na kitu hivi😂Imekuaje
Kwan majibu wanatoa hapohapo mkuu mi nikajua wanasaili wote wanasubiri PDF ya mwisho ya makao au huko wanamaliza kabisaDodoma tulikua watu kama elfu3 lakin limepigwa panga moja then tukabak watu kama 300 na kitu hivi😂
Kudadekiii😮💨😮💨 Tatizo Dodoma nanyie mko wengi sanaaaa bhn ko wakaona wajipunguzie mzigo mapemaaDodoma tulikua watu kama elfu3 lakin limepigwa panga moja then tukabak watu kama 300 na kitu hivi😂
Mm sio big mkuuWewe ni yule big nini...nilisikia mwendo wa Big, mwendo wa Big
Ndio tupo weng, bt nafkr pia watachukua watu wengiKudadekiii😮💨😮💨 Tatizo Dodoma nanyie mko wengi sanaaaa bhn ko wakaona wajipunguzie mzigo mapemaa