Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Kwn wakuu kufunga kozi n tofauti na kumaliza kozi? Mana nasikia wanafunga kozi wanaenda pori hapo ndo sijaelewa Kwnn wafunge kozi na waende tena pori
Kufunga kozi kuna husisha maandalizi ya gwaride pamoja na medani za Kivita ambapo Askari Wapya hupata kiapo cha utii mbele ya IGP, Kamishina wa operesheni na Mafunzo pamoja na wageni wengine mbalimbali....

Inategemea sherehe hizi kufanyika kwa gwaride likawa TPS au porini na mara nyingi Sherehe za Medani za Kivita huwa porini siku moja kabla ya Gwaride La Mgeni Rasmi...

Kwa hiyo kufunga kozi ndo mwisho wa kumaliza kozi tayari kuelekea kwenye majukumu rasmi ya Ki askari
 
Vp Moshi kunakua na mitihan ya darasani?kama ukifeli inakuaje
 
Kwa wale tulioomba na jeshini vp wao pdf la usaili watatoa lin?
 
Yan hapa ni kusikilizia kote kote PT na JWTZ kutakapotik bac ukouko tunaweka kambi🔥
 
ivi wakuuu jwtz kutoboa nirahic kwasis wa mujibu au tuendelee kusubiri embe chini ya mnazi😀😀😀
 
Nikikumbuka wakati naomba kazi Polisi tulikuwa tunalazimishwa,hata mimi ni kama nililazimishwa tu kwenda Depo,ndio maana hata kuacha kazi niliacha ndani ya masaa 24
Hongera kwa kufanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom