Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu🤝🤝Mwezi huu uhakika wanamaliza Depo Maana Walianza Kozi Mwezi Wa 12 Tarehe 1, Muda umefika kabisa...
Wakishamaliza Rasmi Mwezi unaofata wanaungwa kwenye payroll tayari kupokea Mshahara, kwenye picha ni MIHADHARA ya kuwaongezea maarifa katika kazi zao.
Check Number mara nyingi hutoka pamoja na Mshahara wa kwanza.
Issue za Uniform zote mtapewa kule kuanzia vest kaki, Viatu, green jungle, ballet, tt na kadharika... Ila kule askari hupunguza nguo kadri ya size zao ila pia kuna ukaguzi, ukizingua unapewa adhabu ya kutosha.
All the best Kwa Vijana Wanaokaribia Kuhitimu....
Kwa iyoo pdf mwezi huu wa 9 sio uwakika mkuuPale unaposubiria kazi ya laana
Kwa iyoo pdf mwezi huu wa 9 sio uwakika mkuuPale unaposubiria kazi ya laana
Mwezi huu uhakika wanamaliza Depo Maana Walianza Kozi Mwezi Wa 12 Tarehe 1, Muda umefika kabisa...
Wakishamaliza Rasmi Mwezi unaofata wanaungwa kwenye payroll tayari kupokea Mshahara, kwenye picha ni MIHADHARA ya kuwaongezea maarifa katika kazi zao.
Check Number mara nyingi hutoka pamoja na Mshahara wa kwanza.
Issue za Uniform zote mtapewa kule kuanzia vest kaki, Viatu, green jungle, ballet, tt na kadharika... Ila kule askari hupunguza nguo kadri ya size zao ila pia kuna ukaguzi, ukizingua unapewa adhabu ya kutosha.
All the best Kwa Vijana Wanaokaribia Kuhitimu....
Pale unaposubiria kazi ya laana
Sawa sawa Mkuu... Hapo basi ni October mapema sanaKozi wanafunga October ijumaaa ........psssf tayar wamepewa elimu na kuungwa juz watu wa saccos yao waliend
Mkuu hii mbinu inatumika Zanzibar, Zanzibar kuna siasa mbaya sana tusiruhu iingie Tanganyika itaumiza wasiokua na hatia.Mbinu ni moja tu. KADI YA UVCCM.
Hii utaivaa shingoni kama ID uingiapo kwa interview. Hautoulizwa chochote utajitambulisha tu na utakua umemaliza kila kitu.
Karibu MkuuNikitoboa nitakuchek inbox kuna vitu nikuulize mkuu
Kuwepo CCP tayari kozi imeshaanza tayari... Ila kuna siku maalum ambapo kozi hufunguliwa, Mfano depo iliyopita kozi ilifunguliwa miezi 2 toka watu walivyoripoti kambini.Vp na je mkishafika ccp pale ni kwamba ndo mnaanza kozi au hua kuna kua na mwezi mmoja au miwili ya uzalendo kama jeshini?
Kwa Zanzibar uhakika, hata baadhi ya watu toka kule waliotaka kujiunga Jeshi kule walishanigusia hili....Mkuu hii mbinu inatumika Zanzibar, Zanzibar kuna siasa mbaya sana tusiruhu iingie Tanganyika itaumiza wasiokua na hatia.
Maelezo Muhimu sana mkuu, ila siku hizi ukishaingia CCP Kutoka Jumapili kwenda kutembea hizo issue hamna tena...Mkiripoti Depo kunakuwa na wiki kadhaa kama sio mwezi mzima za kujisajili kulingana na mikoa mliyotokea. Baada ya kama mwezi ndio Mafunzo yanafunguliwa rasmi hivyo wiki ya kwanza ya Mafunzo inaanza kuhesabika baada ya Mafunzo kufunguliwa rasmi. Na pia vijana mkiwa Depo muwe na nidhamu na sio kuleteana ubabe kupigana. One of my best friend alifukuzwa Depo zikiwa zimebaki wiki Tatu tumalize Depo baada ya kumtandika mwenzake ngumi na kumtoa jino. Tena nakumbuka siku hiyo ilikuwa Jumapili siku ambayo tulikuwa tunaruhusiwa kwenda nje ya Chuo kutembea(miezi miwili ya mwisho mnakuwa mnaruhusiwa kila Jumapili kwenda nje kutembea mpaka saa 10 jioni.Hivyo kama una upwiru unaweza kwenda kukamata Bar Maid mtaani ukagonga. Au kama umepata demu Kuruta mwenzako mnaweza kwenda kugongana kikubwa condom msije mkatiana mimba. Pia vijana mkihitimu mjitahidi kujiendeleza kielimu na sio kuridhika na Elimu uliyoingilia mfano Kidato cha Nne. Ukiridhika maana yake utasota na Ukonstebo wako maisha,utaishia kuwapigia saluti wenzako tu. Nakumbuka wakati naingia Depo 1998 huyu Kamanda Muliro Jumanne alikuwa Mkufunzi pale CCP akiwa na Nyota Moja(Assistant Inspector). Leo hii washkaji wengi aliotufundisha wamemzidi Vyeo hivyo yeye Muliro anawapigia Saluti wanafunzi wake😄Hivyo Elimu ni kitu muhimu sana kwenye Vyombo vya Ulinzi
Shukrani sana mkuu🤝🤝Mkiripoti Depo kunakuwa na wiki kadhaa kama sio mwezi mzima za kujisajili kulingana na mikoa mliyotokea. Baada ya kama mwezi ndio Mafunzo yanafunguliwa rasmi hivyo wiki ya kwanza ya Mafunzo inaanza kuhesabika baada ya Mafunzo kufunguliwa rasmi. Na pia vijana mkiwa Depo muwe na nidhamu na sio kuleteana ubabe kupigana. One of my best friend alifukuzwa Depo zikiwa zimebaki wiki Tatu tumalize Depo baada ya kumtandika mwenzake ngumi na kumtoa jino. Tena nakumbuka siku hiyo ilikuwa Jumapili siku ambayo tulikuwa tunaruhusiwa kwenda nje ya Chuo kutembea(miezi miwili ya mwisho mnakuwa mnaruhusiwa kila Jumapili kwenda nje kutembea mpaka saa 10 jioni.Hivyo kama una upwiru unaweza kwenda kukamata Bar Maid mtaani ukagonga. Au kama umepata demu Kuruta mwenzako mnaweza kwenda kugongana kikubwa condom msije mkatiana mimba. Pia vijana mkihitimu mjitahidi kujiendeleza kielimu na sio kuridhika na Elimu uliyoingilia mfano Kidato cha Nne. Ukiridhika maana yake utasota na Ukonstebo wako maisha,utaishia kuwapigia saluti wenzako tu. Nakumbuka wakati naingia Depo 1998 huyu Kamanda Muliro Jumanne alikuwa Mkufunzi pale CCP akiwa na Nyota Moja(Assistant Inspector). Leo hii washkaji wengi aliotufundisha wamemzidi Vyeo hivyo yeye Muliro anawapigia Saluti wanafunzi wake😄Hivyo Elimu ni kitu muhimu sana kwenye Vyombo vya Ulinzi
Kuwepo CCP tayari kozi imeshaanza tayari... Ila kuna siku maalum ambapo kozi hufunguliwa, Mfano depo iliyopita kozi ilifunguliwa miezi 2 toka watu walivyoripoti kambini.
Shukran🤝🤝Kuwepo CCP tayari kozi imeshaanza tayari... Ila kuna siku maalum ambapo kozi hufunguliwa, Mfano depo iliyopita kozi ilifunguliwa miezi 2 toka watu walivyoripoti kambini.
Nadhani ni utaratibu wa mavazi tu,lakiniAlaf pia naomba kuuliza kwann kuanzia cheo cha staff sergent na kuendelea juu wao wakivaa uniform yao ile ya kaki wanavaa kama kaunda suti flani hivi hawachomekei alaf hawa wa cheo cha sergent kushuka chini mpaka police constable(cheo kdgo cha kwanza) wao wanachomekea mda wote…ni kwann eti wakuu?? mwanadodoma Mercenary2013
Ok ndugu,Depo yangu ile miezi miwili ya mwisho tulikuwa tunaruhusiwa Jumapili asubuhi mpaka saa 10 jioni kwenda kusafisha macho Mjini,kuhusu uliyeuliza suala la mavazi nadhani ni utaratibu wa mavazi tu. Ndio maana zamani kuanzia Nyota Moja mpaka IGP walikuwa wanavaa mikanda fulani myeusi tumboni na mmoja unapita begani,siku hizi naona hawavai hivyoMaelezo Muhimu sana mkuu, ila siku hizi ukishaingia CCP Kutoka Jumapili kwenda kutembea hizo issue hamna tena...
Labda issue muhimu za rufaa za hospital, msiba nyumbani, Lindo la nje, otherwise NO RUHUSA Ya Kutoka Nje.
Kufukuzwa kupo sana wakuu, kuna Mwamba wa PCCB alifukuzwa kambini siku 3 kabla ya kuhitimu Depo iliyopita.