Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Alaf kuna lonja nimeiskia eti mkimaliza kozi askari mtapangiwa mikoa yenu husika ila kuna baadhi ya askari watabaki pale ccp kama wakufunzi na naskia ukibahatika kubaki pale kama mkufunzi kuna posho ya ukufunzi mwisho wa mwezi ambayo ni 50% ya mshahara wako eti hii ni kweli wakuu?? Mercenary2013 mwanadodoma
 
Yani mtu kama kazaliwa dsm ...kituo Cha kazi anarudu dsm??? Hii noma
 
Kubaki CCP yes huwa kuna Askari wapya ambao huwa wanabakizwa CCP kama Wakufunzi,sifa kubwa ni awe amefanya vizuri kwenye Gwaride na Medani nyingine,sina uhakika wa malipo lakini Wakufunzi huwa Wana allowance fulani ambayo huwa wanalipwa kila mwezi
Sawa mkuu…apo kwenye medani ndo inakuaje an mkuu?
 
na kubaki CCP nako uwe na connection maana kuna posho ya ukufunzi ambayo ni 50% ya mshahara wako
 
Daah sio poa…ukibaki pale ilo ni zali aisee maana utalala na kula pale pale, mshahara na marupurupu yako ukiyabana vzr mwisho wa mwezi unakua na maokoto ya kutosha ukikaa apo miaka4 basi life ushatoboa 🙌

h
 
Ndugu,jamaa na marafiki.tarajieni tarehe 27 mwezi huu mtareport CCP ,InshaAllah
 
Wakuu hii jungle green ni tamu na yamoto sna🔥……unaona maafande walivyopendeza aisee…..eti wakuu mm nilijua izo kapero wanavaa maofsa tu kumbe hata ambao sio maofsa hua wanavaa (rank and files)?? mwanadodoma Mercenary2013
 
Attachments

  • IMG_9941.jpeg
    IMG_9941.jpeg
    441.2 KB · Views: 15
Naona mwanamama uyo amevaa uniform plane lakin juu kapiga kapero, vip askar wa vyeo vya rank and files nao hua wanavaa izo kapero au ni zile nyeusi tu?
Wakuu hii jungle green ni tamu na yamoto sna🔥……unaona maafande walivyopendeza aisee…..eti wakuu mm nilijua izo kapero wanavaa maofsa tu kumbe hata ambao sio maofsa hua wanavaa (rank and files)?? mwanadodoma Mercenary2013
 
Daah sio poa…ukibaki pale ilo ni zali aisee maana utalala na kula pale pale, mshahara na marupurupu yako ukiyabana vzr mwisho wa mwezi unakua na maokoto ya kutosha ukikaa apo miaka4 basi life ushatoboa 🙌

h
Ujui usemalo kaka, mi naona ccp cio sehem ya kubaki hata wakitaka ubaki, ukifika utanielewa
 
Back
Top Bottom