Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Haya mambo sio poa, uko unafosi mbanga wako akufosie mchongo kumbe na yeye ana mbanga wake anamsikilizia aloo!!
 
Depo n# K iliyo CCP itamaliza tarehe 25/10/2024....wiki hii mwshoni wanaenda kilele pori kumaliza Field Craft exercise...PDF ni anytime naona
Pori madogo wameenda muda maybe awamu ya pili waende wa awali kitambo wako Chaka huko
 
Hivi kumbe hapo ccp Moshi Wana ruhusu kutumia simu ??? NDANI ya chuo Kwa. Makuruta ??
 
kuna tofauti kati ya watu kuripot na kozi kufunguliwa, kozi inaaza miezi(1-2) baada ya kuripoti inatakiwa hao wakimaliza huo mwezi 25/10 kozi ifunguliwe inamaana watu wawe wamemaliza uzalendo lazima waende wa tisa huu huu tena pdf ikitoka 15/9 wataripot had 19 au 20/9 kufikia 25/10 inaanza
 
Nawakumbusha tu kama unatumaini la kupata jiandae ha atoagi muda wakuripoti zaidi ya siki 5 mara nyingi ni 2-3
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Mnataka kuwa majambazi wapya, poleni, huko mbeleni polisi mtakuwa na hali ngumu sana.
Gen Z itawamaliza
 
Mnataka kuwa majambazi wapya, poleni, huko mbeleni polisi mtakuwa na hali ngumu sana.
Gen Z itawamaliza
Kwenye hao Gen Z hamna majambazi? au kwa kua wahalifu huwa hawatangazwi kila kitu huambiwi na hukijui unasubiri vyombo vya dora vikosee uhesabu makosa hao majambazi wengine tukuachie unawaweza?
 
Back
Top Bottom