innovate jambo ambalo hutulijui mfano uber,face book.Unda injini ya gari inayotumia mafuta kidogo kwa mwendo mrefu.Gundua betri ya kutunza chaji nyingi ili itumike kwenye magari na sola,betri zilizopo hazina uwezo wa kukaaa na chaji kwa muda mrefu mfano betri za simu na komputer.Kwenye teknolojia ya betri uwanja upo wazi utakuwa milionea fasta.Gundua jinsi ya kutengeneza sola bila kutegemea madini ya silikoni kwani yana gharama na urasimu mkubwa sana hivyo utakuwa tajiri sana.WEnzio wako maabara kutafuta majibu ya matatizo hayo wewe unasubiri nini kajiunge upo jf.