Tupeane ushauri namna ya kuwa millionaire kabla miaka 25

Tupeane ushauri namna ya kuwa millionaire kabla miaka 25

cheza biko, tatu mzuka, tusua mapene, na kadhalika
kuwa milionea ukiwa na miaka 25 labda za mshahara wako wa kila mwezi tu
 
Kibubu cha chuma vinauzwa bank mimi nilinunua bank ya wanawake kwa elfu 20 mwaka 2012.
 
Acha kusoma, maana kwa system ya elimu ya Tanzania wengi ndio huwa wanamaliza vyuo katika range ya miaka hiyo
 
Wengi wanaishi kwa wazazi, unaweza ukaanza mara tu umalizapo form 4 na baati mbaya matokeo yakatoka vibaya, hapo wana umri wa miaka 18 na kuendelea.
 
innovate jambo ambalo hutulijui mfano uber,face book.Unda injini ya gari inayotumia mafuta kidogo kwa mwendo mrefu.Gundua betri ya kutunza chaji nyingi ili itumike kwenye magari na sola,betri zilizopo hazina uwezo wa kukaaa na chaji kwa muda mrefu mfano betri za simu na komputer.Kwenye teknolojia ya betri uwanja upo wazi utakuwa milionea fasta.Gundua jinsi ya kutengeneza sola bila kutegemea madini ya silikoni kwani yana gharama na urasimu mkubwa sana hivyo utakuwa tajiri sana.WEnzio wako maabara kutafuta majibu ya matatizo hayo wewe unasubiri nini kajiunge upo jf.
 
Anza na person development yani work hard in your self than you do in your job km ni brighter enough nakuhakikishia baada ya muda mfupi utakuwa millionaire
Na kwa kuongezea kwa mujibu wa Bible inasema the road to richest is to serve the many. Hapa cha kufanya ni kufind the way to serve the many.
 
Back
Top Bottom