Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukalima vitunguu lakini unapikia kitunguu cha kununua
Unataka waje kujaribu kule kwako?Hahaha nasoma huu Uzi nacheka tu
Ha ha ha mkuu kwema huko Fx?Hahahahaha si huwa mnasema forex Ni kubeti ..Huwa mnasema kana kwamba hizo biashara zingine huwa hampigwi.. huwa tunasema humu hakuna biashara isiyo na changamoto ila inabidi uwekeze kwenye issue yenye calculated risks and that's all...
Nimeona mtu humu kawekeza kwenye mpunga mwaka mzima na kapata million 6 .. yaani aliwekeza million 30 na kapata million 6...
Yaani kawekeza dola 15,000 halafu anakuja kupata dola 3000 baada ya miezi 12 baadae ..
Hiyo dola 15,000 good fx trader anazalisha hoyp million 6 ndani ya miezi miwili tu ...
Jamani acheni kuzaraulina guys kila mtu ale kwa uwezo wake na sio kuona wengine wanafanya ubabaishaji wakati humu tunaona kuna watu wamepigwa kuanzia kwenye bajaji, kilimo n.k ...
Mwisho wa siku kila kitu Mungu atangulize mbele
Ok, nicheki tu inbobo, nikupe elimu...Naomba unifundishe hii biashara...
Nauza pilipili pia
Hii biashara inakwenda vizuri
Japo inahitaji muda na marketing ya kutosha
Walikuwa hawakulipi au?Kukopesha pesa mitaani!
Wee usipime unavurugwa mbayaKilimo ni noma sana,kweli ukitaka kupata pressure anzisha jambo.
Hawa labda muuziane cash cash, ukiwakopesha ni watu hatari sana. Lakini inaweza kuwa changamoto kwa mtu mmoja kwa mwingine ikawa fursa nzuri sana kwasababu mimi nilihamasika baada ya mtu moja kunielezea faida anayoipata kwenye hii biashara.[emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua ni fursa kumbe nako balaaa tupu
Mkuu hii inaitaji akili na kipaji pia alafu usipingane na nafsi yako huku ukiwa risk taker Mimi niliwai better 450 bet power team 24 nikachomoka na laki Saba na sitina tisa elfu kila mtu alishika mdomo
Dadekii hivi unaangalia vitu gani mkuu embu npe ujanja maana mpaka apps kama footmob za kuangalia statistics za timu nlkuwa nayo lkni wap
Hahaha kwema mkuuHa ha ha mkuu kwema huko Fx?
Nakuaga mzma mkuu sema muhind ananipiga SanaTatizo unafanya analysis ukiwa tungi mkuu [emoji1]
Ulikua unasisamia wewe mwenyewe?Hahahahaa daah kilimo cha vitunguu Dakawa...
Sikupata hata cha mboga
Sio biashara ya kufanya Mkuu. Raha ya bodaboda uendeshe mwenyewe ndio utaifaidi, vinginevyo ni pasuakichwa mbaya sana!So biashara ya Bodaboda mkuu hata ukipata mtaji leo hufanyi??
Hii ni kitu ambayo siwezi fanya maishani.Ku bett
Na wewe ukawa mlevi sio hahahahhaBiashara ya Bar,niligeuka mlevi.vurugu za wahudumu,vurugu za wateja(walevi),sitaki hata kukumbuka .pesa yangu nyigi iliishia huko.,nilivyo achana nayo niliona nimetuwa mzigo mkubwa sana
nikiikumbuka hii natamani kulia, nilichoma pesa mingi sana hapa