Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Hahahahaha si huwa mnasema forex Ni kubeti ..Huwa mnasema kana kwamba hizo biashara zingine huwa hampigwi.. huwa tunasema humu hakuna biashara isiyo na changamoto ila inabidi uwekeze kwenye issue yenye calculated risks and that's all...


Nimeona mtu humu kawekeza kwenye mpunga mwaka mzima na kapata million 6 .. yaani aliwekeza million 30 na kapata million 6...

Yaani kawekeza dola 15,000 halafu anakuja kupata dola 3000 baada ya miezi 12 baadae ..


Hiyo dola 15,000 good fx trader anazalisha hoyp million 6 ndani ya miezi miwili tu ...



Jamani acheni kuzaraulina guys kila mtu ale kwa uwezo wake na sio kuona wengine wanafanya ubabaishaji wakati humu tunaona kuna watu wamepigwa kuanzia kwenye bajaji, kilimo n.k ...



Mwisho wa siku kila kitu Mungu atangulize mbele
Ha ha ha mkuu kwema huko Fx?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nikajua ni fursa kumbe nako balaaa tupu
Hawa labda muuziane cash cash, ukiwakopesha ni watu hatari sana. Lakini inaweza kuwa changamoto kwa mtu mmoja kwa mwingine ikawa fursa nzuri sana kwasababu mimi nilihamasika baada ya mtu moja kunielezea faida anayoipata kwenye hii biashara.

Alikuwa anapata sh 1000 hadi 1500 kwa kila trey moja ya mayai so kwa siku ukiweza kuuza trey 30 hadi 50 tu unaweza kuona ilivyo na faida nzuri.

Acha niingie kichwa kichwa kwenye hii biashara nilipoteza nusu ya mtaji wangu wote.
 
Biashara ya Bar,niligeuka mlevi.vurugu za wahudumu,vurugu za wateja(walevi),sitaki hata kukumbuka .pesa yangu nyigi iliishia huko.,nilivyo achana nayo niliona nimetuwa mzigo mkubwa sana
Haa ha...Ukawa unazipiga mwenyewe
 
Ukatamani ungeweza hata buku [emoji23][emoji23]
Mkuu hii inaitaji akili na kipaji pia alafu usipingane na nafsi yako huku ukiwa risk taker Mimi niliwai better 450 bet power team 24 nikachomoka na laki Saba na sitina tisa elfu kila mtu alishika mdomo
 
Tatizo unafanya analysis ukiwa tungi mkuu [emoji1]
Dadekii hivi unaangalia vitu gani mkuu embu npe ujanja maana mpaka apps kama footmob za kuangalia statistics za timu nlkuwa nayo lkni wap
 
Biashara ya Bar,niligeuka mlevi.vurugu za wahudumu,vurugu za wateja(walevi),sitaki hata kukumbuka .pesa yangu nyigi iliishia huko.,nilivyo achana nayo niliona nimetuwa mzigo mkubwa sana
Na wewe ukawa mlevi sio hahahahha
Yani huu Uzi unaniongezea siku za kuishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom