Ungekuwa upo mbeya au s'wanga ingekua rahisi. 'Coz' stock ya mpunga ipo Godown, tukipata order tunakoboa then tunafanya biashara.Nataka niuone kwanza nijiridhishe,
Then nitakuwa nanunua kwa interval fulani kuna mahali napeleka ila uwe wenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahakikisha mizigo kwanzaa aiseeBiashara yoyote inahitaji usimamizi wa 100% ukiwa hapo hapo.
Nakumbuka nilikuwa na Pub mkoa flani ilinifilisi ili niimaintain iendelee kuwepo.Vibaa med nilivitoa straight from unyaturuni.Lazima niwalambe kwanza.Vitoto "Onion a**" havikatai kwa mi boss wao.Wife aliipiga vita nilivyohamishwa kikazi akafurahi na ikafa.
unauza sh ngap kwa kilo mojaMchele wa kamsamba upo. Unahitaji kiasi gani...?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unahakikisha mizigo kwanzaa aisee
Mimi dereva mwaminifu sana.Huyo ni dereva wa pili wote walikuwa hivyohivyo
Hao ni addicted tayari na ndio ambao hua bankruptcyYani unazungumzia dola 100 Tena ya cent account wakati Kuna watu wamechoma dola zaidi ya 5000 na bado wapo kwenye game ..
Ufugaji ukiwa na elim changamoto hupungua mimi nilipitia huko na hasara za kutosha ila saiv mambo yanaenda kodogo
Biashara nilifanya kiasi kiukwelii ni tamu sana.Biashara nyingne niliyoifanya ambayo kiukweli ina pesa ni mirungi ukinunua mzigo wa laki tano unapata laki tano faida hizo changamoto zake sasa hatari Tupu, unaishi Kama ndege huna amani muda wowote unajikuta police,,, ikifanya hiyo biashara mwaka mmoja bila kukamwatwa umetoka kimaisha na kila unapotembea hakikisha unahela kwasababu lolote laweza kutokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa sipiti huku barabarani kuna chimbo moja ukifikaa kilema hospital unakata mkono wa kulia unachuku barabara nakuta boda imefika natua mzigoo basii. Maana boss alikuwa kazi ni kunivushia tu basii. Na hizi fuso.Holili, taveta, namanga, na himo ndo chimbo hizo na kuna muda nilikuwa naingia kenya kabisa kwa wameru huko,, biashara yenye pesa lakini ina changamoto za kiume,, najipanga kuanza biashara hii liwalo na liwe hali gumu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbe hiyo biashara iko poa.Biashara inahitaji uvumilivu wa hali ya juu...nilifanya biashara ya maji na juisi jumla jumla....unaingiza mtaji wa 1m faida alfu kumi. nikafungua book shop huko ndio mtaji ukapotea kabisa.
Sawa pamoja sana.Mkuu biashara hiyo ina hela najipanga kurudi mzigoni acha nijilipue
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana😢😢😢Daaah mm nlitumia zaid ya laki 3 tena ya mkopo wa chuo kulima ufuta,sikurudisha ata sent ni hasara tupu nilitaman adi kulia sema ndo uwanaume tu nkajikaza..
Pole sanaHahahahaa daah kilimo cha vitunguu Dakawa...
Sikupata hata cha mboga