Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Biashara ya sabuni za magadi, ninachoshukuru nilizifulia hadi zikaisha zote. Ilikuwa miche arobaini na kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya sabuni za magadi, ninachoshukuru nilizifulia hadi zikaisha zote. Ilikuwa miche arobaini na kitu.
Dah aisee pole.... Ungeziuza hata kwa Bei ya kurudisha pesa yakoBiashara ya sabuni za magadi, ninachoshukuru nilizifulia hadi zikaisha zote. Ilikuwa miche arobaini na kitu.
Ulikuwa ukizitengeneza mwenyeweBiashara ya sabuni za magadi, ninachoshukuru nilizifulia hadi zikaisha zote. Ilikuwa miche arobaini na kitu.
Siku hizi tatizo hakuna timu zinazoaminika.Kubet uwe na mtaji tu na uache tamaa mm always huwa natafuta odds 3 za uhakika then natia laki pamoja na bonus inakuwa kama 360 hivi huwezi amini mhindi anakoma na mm daily, coz kila cku nampiga laki mbili mbli
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha tu, ila nilijifunza kuwa biashars hutakiwi kufanya kwa mihemuko.
Ndiyo mkuu....Ulikuwa ukizitengeneza mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lkn huwa naona watu wanaziogeaBiashara ya sabuni za magadi, ninachoshukuru nilizifulia hadi zikaisha zote. Ilikuwa miche arobaini na kitu.
Kwanini ulikata tamaa mapema sana mkuuNdiyo mkuu....
Unakutana na mtu anakujaza upepo unakufundisha na wewe unaingia kwenye biashara kwa mhemuko ukiwa huyafahamu mazingira ya biashara. Kinachotokea ni hicho kilichotokea kwangu.Kwanini ulikata tamaa mapema sana mkuu
Ni kweli, hata mimi nimewahi kuogea mara kadhaa. Ila kwa kuwa uchanganyaji wa kemikali haufanywi kitaalam basi ukiwa na mchubuko kidogo basi lazima uisome namba.
Pole sana mkuu; ulijaribu kupita pita kwenye maduka yakina mangi nkUnakutana na mtu anakujaza upepo unakufundisha na wewe unaingia kwenye biashara kwa mhemuko ukiwa huyafahamu mazingira ya biashara. Kinachotokea ni hicho kilichotokea kwangu.
Juzi tu hapa nimeigoea; huwa kina mtu ananiletea
Sana, ila haikusaidia. Walikiwa waswahili sana.Pole sana mkuu; ulijaribu kupita pita kwenye maduka yakina mangi nk
Huwezi amini kuna jamaa mmoja uku kijijini nilipo ananileteaga sana.Sana, ila haikusaidia. Walikiwa waswahili sana.
kweli blaza?Kubet uwe na mtaji tu na uache tamaa mm always huwa natafuta odds 3 za uhakika then natia laki pamoja na bonus inakuwa kama 360 hivi huwezi amini mhindi anakoma na mm daily, coz kila cku nampiga laki mbili mbli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema bora kununua tu mazao uvizie soko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kilimo balaa...