Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

biashara iliyonishinda ni ile wanakuambia "GOOD MORNING BILLIONAIRE UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULETA WENZAKO WA2 NA WAO WALETE WATU WA2 KISHA UNAANZA KUPIGA HELA KWENYE HIO NETWORK YAKO" [emoji23][emoji23]
Wale jamaa from day 1 was like wtf is this thing...hadi jioni goodmorning...hehehe...typical pryamid scheme...
Ilibidi ntulie kidogo ntoke kistaarabu polepole kidogo mana nliunganishwa na mtu tunaheshimiana sanaa...sanaa..af ye na mkewe js imagine...yani walinipa mtihani kuwakwepa vibaya mnoo...wana shawishi sijapata ona..walinizima 1M yangu nliumia japo haikuniuma sana mana ni mzinga mtu alituma wahuni wale wakanishawishi wakapita nayo
 
Kubet uwe na mtaji tu na uache tamaa mm always huwa natafuta odds 3 za uhakika then natia laki pamoja na bonus inakuwa kama 360 hivi huwezi amini mhindi anakoma na mm daily, coz kila cku nampiga laki mbili mbli

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vile tu sijui sanaa mpira lakini naifikiria sanaa hii niiongeze kwenye portfolio hivii

Naweka fixed capital...na bet hizi amount za kawaida kawaida tu
Kupata japo laki kwa siku kama kipato cha ziada sio Kesiii...
U saidi it right usiwe na tamaa...kuvizia mamilioni wkt unaweka elf 5...bora kuvizia hizo laki2
 
Hahahahahah mkuuu sio rahisi unavyofikiria mkuuu nenda kwenye jukwaa LA kubeti kule uone watu tunavyolalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bishara ya kuza dawa za chooni aiseee nilikutana na changamoto Sana ila hili la mteja mmoja kunikabidhi dekio chafu ni lisugue kwa dawa likitakata ndo anunue sikulivumilia na kupiga chini hiyo biashara
Ungevumilia tu mkuu, mteja mfalme
 
Wale jamaa from day 1 was like wtf is this thing...hadi jioni goodmorning...hehehe...typical pryamid scheme...
Ilibidi ntulie kidogo ntoke kistaarabu polepole kidogo mana nliunganishwa na mtu tunaheshimiana sanaa...sanaa..af ye na mkewe js imagine...yani walinipa mtihani kuwakwepa vibaya mnoo...wana shawishi sijapata ona..walinizima 1M yangu nliumia japo haikuniuma sana mana ni mzinga mtu alituma wahuni wale wakanishawishi wakapita nayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ! Hizi biashara kila mtu ana vilio vyake. Ntakulaani maisha yangu yote wewe Sa****. Hasara uliyonisababishia sitaisahau. Never trust a friend
 
Ni vile tu sijui sanaa mpira lakini naifikiria sanaa hii niiongeze kwenye portfolio hivii

Naweka fixed capital...na bet hizi amount za kawaida kawaida tu
Kupata japo laki kwa siku kama kipato cha ziada sio Kesiii...
U saidi it right usiwe na tamaa...kuvizia mamilioni wkt unaweka elf 5...bora kuvizia hizo laki2
😀😀 hiyo biashara ngumu asikwambie mtu hutaamini team kila siku inatoa 2+ siku unaweka wewe wanatoka 0-0😀😀

Yote kwa yote ila inaenda na upepo, ukikubali utasema maisha kumbe rahisi hivi. Ila ikikugomea unaweza kutembea unaongea mwenyewe😂😂
 
Kama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.
Duh! Hawa ndugu zetu wakina Masanja rice...Wanafanyaje! Mbona Kama wanatusua...Ama mitaji yetu midogo ndo changamoto!! Tatizo sisi wabongo atuna utamaduni wa kuungana na kuwekeza mitaji mikubwa na kuleta Tija....

Utapeli, Ujuaji, Wivu,Fitna, ndo vitu vinafanya kila 1 kuwekeza kivyake... Tusikate tamaa safari ya mafanikio ina changamoto Sana..
 
Duh! Hawa ndugu zetu wakina Masanja rice...Wanafanyaje! Mbona Kama wanatusua...Ama mitaji yetu midogo ndo changamoto!! Tatizo sisi wabongo atuna utamaduni wa kuungana na kuwekeza mitaji mikubwa na kuleta Tija....Utapeli, Ujuaji, Wivu,Fitna, ndo vitu vinafanya kila 1 kuwekeza kivyake... Tusikate tamaa safari ya mafanikio ina changamoto Sana..
Atakua anatakatisha hela yule sio bure
 
😀😀 hiyo biashara ngumu asikwambie mtu hutaamini team kila siku inatoa 2+ siku unaweka wewe wanatoka 0-0😀😀

Yote kwa yote ila inaenda na upepo, ukikubali utasema maisha kumbe rahisi hivi. Ila ikikugomea unaweza kutembea unaongea mwenyewe😂😂
hamna kitu kirahisi
Na haiwezekani mda wote we ukawa unakula tu lazma na we uliwe...ni kuendelea kujaribu tu
 
Mwana anatoa hamasa kwa vijana kuingia kwenye game lakini story za huku zinakatisha tamaa!! Hilo ulilosema la kutakatisha pesa siwezi kubisha Wala kukubali maana mafanikio ya watu Yana Siri nyingi Sana... Muhimu ni kuendeleaa kupambana...
Na ana shughuli/biashara zaidi ya moja
Uigizaji,uchungaji sijui, nk
 
Biashara ya Bar:

biashara ilianza vizur sana na ikachanganya kwenye mauzo ya vinywaji na vyakula (jiko nlimkodisha mtu alikua ananilipa kwa siku)

changamoto kubwa
1.Watumishi sio waaminifu
2.Mwenye eneo : kwa kua nililipa kodi ya mwaka na nusu basi mwenye eneo alivyoona biashara iko vyema akasema hataongeza mkataba tena hivyo niondoke then akafungua yeye biashara kama ile bahati mbaya naye alifeli.
 
Kama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.
Ulikosea Mkuu, mpunga ni pasua kichwa, mbona mimi nimefanya sana biashara ya mchele, mpanda, na inalipa vizuri tu!! Hadi nikapata tenda kubwa sana, ya kila mwezi kupeleka sehemu super, tani 60!!tatizo ikawa mtaji tu, sasa ningekuwa mbali sana!!! Mpunga ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom