Biashara ya Bar,niligeuka mlevi.vurugu za wahudumu,vurugu za wateja(walevi),sitaki hata kukumbuka .pesa yangu nyigi iliishia huko.,nilivyo achana nayo niliona nimetuwa mzigo mkubwa sana
Hii bisahra ukiwa na lori lenye freezer inaweza kuwa nzuri sana.Achaaa mkuu yani nilipata hasara na duka nikafungaa mwaka 2015.
Kuna mda samaki zinakuja zimeharibika
Kifupi biashara yoyote inataka moyoo
Ukiwa na canter ya freezer ndo una faidi.Hii bisahra ukiwa na lori lenye freezer inaweza kuwa nzuri sana.
kupiga hizo odds 3 kila cku uwongoKubet uwe na mtaji tu na uache tamaa mm always huwa natafuta odds 3 za uhakika then natia laki pamoja na bonus inakuwa kama 360 hivi huwezi amini mhindi anakoma na mm daily, coz kila cku nampiga laki mbili mbli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ni kwel na biashara nyingi na kilimo hufeli hapa kwenye usimamizi , siku zote pesa hazina uaminifu hata kidogoNa changamoto kubwa katika kilimo ni usimamizi mzuri. Unakuta mtu yuko Dar ila anajiita mkulima kwa kuwa na shamba la mpunga huko Kyela. Kila siku unapigiwa simu mara mbolea inahitajika, mara dawa unatuma hela, mtu anaenda kupiga picha shamba la jirani kisha anakutumia. Basi unajua mavuno yatakuwa ni mazuri. Ukifika msimu wa mavuno jiandae kupokea Breaking News.
Umewezaje??hasahasa ufugaji wa kuku wa nyama umeniliza sana mpk vidonda vya tumbo
Umenena vyema mkuu,Sio biashara hiyo, ila ni ile uonekane tu una biashara!! Pikipiki mpya kwa sasa hadi 2.5 milioni, unampa mtu kwa mkataba wa mwaka ambapo kila siku atakuletea 10,000,kwa mwezi ni 300,000 kwa mwaka ni3. 6 milioni, faida hapo ni kama 1.1 milioni, na sio rahisi kuipata pesa yotekwa mwezibila longo longo, ukitafuta faida halisi hapo kwa mwezi ni kama 100,000/!!!!!!bado wasiwasi wa kuibiwa.
Mimi kuku wa kisasa nimeamua kuwatosa ingawa niliwekezaWanaugumu gani kuku wa kienyeji Mimi nawafuga na mambo yanaenda vizuri
Mpesa na Tigo pesa changamoto ni Chuma ulete tu na MTU atakaye kaa hapo shop amua ukae mwenywe au umuweke mkeo tuMpesa na tigo pesa. Ni stress hatari.
Acha tuu..mwanzoni ukiwakabidhi chombo wanakua wazuri,,katkkati apoo uwiiii wanakua pasua kichwa ndugu yng..nlikua nazo tatu nimewanyanganya zote nimeuza mbili moja nimebaki nayo mm ..hiii biashara hapanaWewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake.
Jamani hii biashara ina presha mwisho wa siku nikaiuza na boda yenyewe sitaki hata kuisikia mtu aniambie mambo ya kufanya biashara ya boda.