Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Sasa hivi nyanya ni dhahabu, kila kitu ni timming
Hahaha kuna cousin wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500.

Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee umenihudhunisha na kunichekesha wakati huo huo.!


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Nipe mbinu basi ya kupata matangazo.nina acount ipo vizuri ila sijajua jinsi ya kupata matangazo.
 
Imani ya kijinga kabisa hii ya chuma ulete. Na mtu unayemini kwenye jambo kama hili ukifeli kwenye biashara utalaumu? Hupaswi kulaumu. Inaonyesha kabisa huna abc za biashara.

Asante sana mkuu kulisemea hili..mm nikifeli huwa simlaumu mtu..kaa chini jitafari wapi ulifanya kosa.be honest yourself...! Usipeleke lawama.za machuma ulete...mie siamini..!
kuna kaka ana duka kubwa sana la nguo..siki hyo tuko naye kkoo anahesabu kila laki haipo 10000! Akapanic..akasema chuma ulete...mm nikampa ukweli...nikamwqmbia simjui mkeo hanijui..anayekupga hizo pesa ni mkeo...naongea kutokana na mm ni ke! Alibisha balaa nikamwambia usimwambie mkeo..mtegeshee hela km hatadokoa...ananiulizaga had leo ww maathai ulijuaje? Nikamwambia i knw..mbaya wako alwys huw yuko karibu sana na ww! Hakuna chuma ulete wala nm!ukiweka imani za ushirikina kwa biashara jua utasindikiza wenzako tu...huna hesabu za biashara jua kufel nje nje
 
ila hii ni kweli 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahhahhahahaah
 

Huko Majimoto biashara inaanza lini kuwa poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…