Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

We kenge 10 kwa hiyo humo sio mwa kuingia?. Sio kwamba uliingia kwa speed?. Ulianza vibaya?
 
Kama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.
Mpunga kuna mwana alipoteza 2M alafu maji hayakutosha aisee hakulamba hata mchele robo[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…