ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
How ? kama mtaji ni wakutosha?Mpesa na tigo pesa..Ni stress hatari
Pilipili za chupa mkuu....Biashara zipi unafanya
Check comment yangu juu apo....weka hapa biashara gani hizo kwa faida ya wengi.
Nilipanda;Mkuu ilikuwaje? mihogo ilikua mikubwa kama miti ya mibuyu?
tutupiemoJipange tu, kuna watu nipo nao kwny groups wanapiga hela
ulikosea wapi? mbona wengine hatupotezKufuga noah. Nilipoteza zaidi ya 3 millions
Lima kilimo cha kisasa mkuuKama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binafsi biashara yangu ya dawa za nguvu za kiume..dawa wa uzazi za wanawake na kuongeza shape zinaniendea vizuri tu Sina changamoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngada ukidakwa mzee...!!
never give up Mkuu pole sanaNilipanda;
Kiroba Ekari 2 | Haina Soko La Kueleweka Hususani Kama Mkagile ( Mhogo Mweupe )Upo, Sikupata Mnunuzi.
Mkagile Ekari 4 | Huu Uliota Hapa Na Pale Kutokana Na Jua Kuwa Kali.
Sikupalilia Awamu Ya 2 Kwa Kuwa Kulikuwa Na Mimea Ya Hapa Na Pale Sana ,Yaani Labda Ya Ekari 1 !
Mpaka Wakati Wa Mavuno, Majani Kibao Hata Tenga Sikupata !
Wewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake jamani hii biashara ina presha mwisho wa siku nikaiuza na boda yenyewe sitaki hata kuisikia mtu aniambie mambo ya kufanya biashara ya boda
Aiseeevinyago nilikuwa napeleka marekani,hasara tupu serikali wanachukua kodi mpaka mtaji unaisha,nikaamua niingie kwenye ngada saizi mimi ni multi billionaire
Once a baharia always a baharia
hapa ndo utajua kabla ya kuwazaa soko mkulima anatakiw awaze mbinu za kuhifadhi mazao kwasababu soko la mazao ni soko huria kibongo bongoHii nzuri japo inaongeza gharama lakini at lst kuliko loss kabisa
Huyo ni dereva wa pili wote walikuwa hivyohivyoUngempora ukatafuta dereva mwingine