Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

[emoji116][emoji116]
Biashara zipi unafanya
Pilipili za chupa mkuu....
PicsArt_08-20-10.59.25.jpeg
 
Mkuu ilikuwaje? mihogo ilikua mikubwa kama miti ya mibuyu?
Nilipanda;

Kiroba Ekari 2 | Haina Soko La Kueleweka Hususani Kama Mkagile ( Mhogo Mweupe )Upo, Sikupata Mnunuzi.

Mkagile Ekari 4 | Huu Uliota Hapa Na Pale Kutokana Na Jua Kuwa Kali.
Sikupalilia Awamu Ya 2 Kwa Kuwa Kulikuwa Na Mimea Ya Hapa Na Pale Sana ,Yaani Labda Ya Ekari 1 !

Mpaka Wakati Wa Mavuno, Majani Kibao Hata Tenga Sikupata !
 
vinyago nilikuwa napeleka marekani,hasara tupu serikali wanachukua kodi mpaka mtaji unaisha,nikaamua niingie kwenye ngada saizi mimi ni multi billionaire
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngada ukidakwa mzee...!!
 
Kama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.
Lima kilimo cha kisasa mkuu
 
Binafsi biashara yangu ya dawa za nguvu za kiume..dawa wa uzazi za wanawake na kuongeza shape zinaniendea vizuri tu Sina changamoto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dah hizi biashara.... Nimejaribu nyingi sana, biashara ni pasua kichwa hasa hizi za halali!

Sio kwamba nashabikia ila wengi wanaotoka wanafanya biashara haramu! Ukisema ufate taratibu zote zinavyotakiwa hakika utasubiri sana!
 
Nilipanda;

Kiroba Ekari 2 | Haina Soko La Kueleweka Hususani Kama Mkagile ( Mhogo Mweupe )Upo, Sikupata Mnunuzi.

Mkagile Ekari 4 | Huu Uliota Hapa Na Pale Kutokana Na Jua Kuwa Kali.
Sikupalilia Awamu Ya 2 Kwa Kuwa Kulikuwa Na Mimea Ya Hapa Na Pale Sana ,Yaani Labda Ya Ekari 1 !

Mpaka Wakati Wa Mavuno, Majani Kibao Hata Tenga Sikupata !
never give up Mkuu pole sana
 
Ungempora ukatafuta dereva mwingine
Wewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake jamani hii biashara ina presha mwisho wa siku nikaiuza na boda yenyewe sitaki hata kuisikia mtu aniambie mambo ya kufanya biashara ya boda
 
vinyago nilikuwa napeleka marekani,hasara tupu serikali wanachukua kodi mpaka mtaji unaisha,nikaamua niingie kwenye ngada saizi mimi ni multi billionaire

Once a baharia always a baharia
Aiseee

Ila hii biashara lazima uwe na connection na wazee wa nguo za khaki eeh?
 
Back
Top Bottom