Ni cha kisasa mkuu lakini gharama zake ni kubwa mno kiasi kwamba ukija kukaa chini ukipiga hesabu na muda wako uliopoteza unakuta hujaingiza kitu na wakulima wengi huwa hawapigi hizo hesabu wanaangalia kavunaje basi,labda shamba liwe lako ndio utaona faida lisiwe na kukodi kabisaLima kilimo cha kisasa mkuu
Daaah,we jamaa umetoboa sufuria ya mchuzi.Biashara ya kilimo bila ulozi hutoboi kamwe
Ukweli mchungu huu.......
We ndo yule una uzaa dawa za vibamiaBinafsi biashara yangu ya dawa za nguvu za kiume..dawa wa uzazi za wanawake na kuongeza shape zinaniendea vizuri tu Sina changamoto.
kuna sehemu ulikosea mkuuNi cha kisasa mkuu lakini gharama zake ni kubwa mno kiasi kwamba ukija kukaa chini ukipiga hesabu na muda wako uliopoteza unakuta hujaingiza kitu na wakulima wengi huwa hawapigi hizo hesabu wanaangalia kavunaje basi,labda shamba liwe lako ndio utaona faida lisiwe na kukodi kabisa
Naomba unifundishe hii biashara...[emoji116][emoji116]Pilipili za chupa mkuu....View attachment 1206340
😂😂😂😂😂😂😂😂Bar: Mtaji wote uliishia tumboni na kwenye vipochi manyoya vya mabaamedi.... hasa yule kaunta Mwantumu...
Ungeniajiri mimi usingejutaHuyo ni dereva wa pili wote walikuwa hivyohivyo
duuh kuna watu jeuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bishara ya kuza dawa za chooni aiseee nilikutana na changamoto Sana ila hili la mteja mmoja kunikabidhi dekio chafu ni lisugue kwa dawa likitakata ndo anunue sikulivumilia na kupiga chini hiyo biashara
Niliwahi shiriki kilimo cha mpunga cha kutegemea mvua. Niliishia kuvuna fedheha. Nililima misimu miwili. Imagine kwenye plot ambayo the precious year imetoa gunia 25 we unavuna gunia 5. Msimu ujao nasubiri mavuno kisha ninunue zangu mzigo niweke stoo niuuze soko likikaa vizuri.
[emoji116][emoji116]Pilipili za chupa mkuu....View attachment 1206340
Breaking News[emoji23][emoji23][emoji23]Na changamoto kubwa katika kilimo ni usimamizi mzuri. Unakuta mtu yuko Dar ila anajiita mkulima kwa kuwa na shamba la mpunga huko Kyela. Kila siku unapigiwa simu mara mbolea inahitajika, mara dawa unatuma hela, mtu anaenda kupiga picha shamba la jirani kisha anakutumia. Basi unajua mavuno yatakuwa ni mazuri. Ukifika msimu wa mavuno jiandae kupokea Breaking News.
afu huyu jamaa hatanii maana hata jina lake tu "PABLO" kwa wanaomjua jamaa alikuaga mbrazili/coliumbia kama sijakosea ndo alikuwa nguli wa kupush ngadavinyago nilikuwa napeleka marekani,hasara tupu serikali wanachukua kodi mpaka mtaji unaisha,nikaamua niingie kwenye ngada saizi mimi ni multi billionaire
Once a baharia always a baharia
[emoji23][emoji23][emoji23]Vitunguu nasikia vinalipa sana