Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Nina shida na ule mchele ulionyooka kama wa Kamsamba
Naweza kupata?
@hornet nina mchele hapa gheto nilinunuaga mbeya lakn siujui jina ila ni ule first grade,,nkitaka kuupika huwa siuchambui maana umenyooka n hatari kama una soko la kueleweka tufanye connection tuusafirishe
 
Hahaha kuna czn wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500
Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiser
 
@hornet nina mchele hapa gheto nilinunuaga mbeya lakn siujui jina ila ni ule first grade,,nkitaka kuupika huwa siuchambui maana umenyooka n hatari kama una soko la kueleweka tufanye connection tuusafirishe

Uko wap?
 
Biashara ya duka aise sijawahi ona biashara yenye stress km hii niliifanya miezi mitano tu ila nilizeeka ghafla.
Sitaki hata kuisikia tena
bro aliwahi kufungua duka sasa nakwambia TRA wakawa wanamhemea mgongoni,,,yaan mauzo faida 6000 kwa sku afu hapo hapo ulipe kodi ya frame,umeme plus chakula weeeeew mbna aliachak
 
Aisee duka la vitu vya nyumbani mkuu?? Me pia nilikuwa nafikiria ila duu
 
bro aliwahi kufungua duka sasa nakwambia TRA wakawa wanamhemea mgongoni,,,yaan mauzo faida 6000 kwa sku afu hapo hapo ulipe kodi ya frame,umeme plus chakula weeeeew mbna aliachak
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]dula sio
 
Biashara ya samaki wabichii nilikuwa natoa mwanza/musoma mpaka town nilikuwa nauza jumla ila changamoto ni kubwa sana.

Ukiachana na shombo wa mama wa sokoni wanatapeli sana halafu ikichelewa au barafu ikiisha wanapungua kiloo
Duuh noma sana...So ukawa unapata hasara[emoji24] Hapo kwenye utapeli duu
 
U
@hornet nina mchele hapa gheto nilinunuaga mbeya lakn siujui jina ila ni ule first grade,,nkitaka kuupika huwa siuchambui maana umenyooka n hatari kama una soko la kueleweka tufanye connection tuusafirishe
Unauzaje kwa kilo na una kilo ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…