King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
sku hz wana jezi nyngine zle ambazo sio khaki sjui ni kitengo kipya?Aiseee
Ila hii biashara lazima uwe na connection na wazee wa nguo za khaki eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sku hz wana jezi nyngine zle ambazo sio khaki sjui ni kitengo kipya?Aiseee
Ila hii biashara lazima uwe na connection na wazee wa nguo za khaki eeh?
@hornet nina mchele hapa gheto nilinunuaga mbeya lakn siujui jina ila ni ule first grade,,nkitaka kuupika huwa siuchambui maana umenyooka n hatari kama una soko la kueleweka tufanye connection tuusafirisheNina shida na ule mchele ulionyooka kama wa Kamsamba
Naweza kupata?
daah aiseeUnazoa taka na matusi juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiserHahaha kuna czn wangu aliwekeza kwenye kilimo cha nyanya,alikopa km laki 7 na 80
Ilikuwa wakivuna tenga litauzwa kwa 4,500
Daah kutahamaki wkt wa mavuno biashara ikuwa hovyo,nyanya kila mahara tenga mia 7
Alijuta na pesa ilikuwa ya mkopo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari ndio maana huwa napenda kupitia commentsHii biashara inaitwa Nyanya Ninyanyue, Nyanya Ninyanyase
kweli kabisa mkuu hatariNitalima Mahindi kwa ajili ya ng'ombe wangu tu,sio kwa ajili ya biashara maana ninayoyaona kwa wadau yanatisha sana.
@hornet nina mchele hapa gheto nilinunuaga mbeya lakn siujui jina ila ni ule first grade,,nkitaka kuupika huwa siuchambui maana umenyooka n hatari kama una soko la kueleweka tufanye connection tuusafirishe
njoo PM kuna mtu zimo humu kazi ni kusoma locationUko wap?
bro aliwahi kufungua duka sasa nakwambia TRA wakawa wanamhemea mgongoni,,,yaan mauzo faida 6000 kwa sku afu hapo hapo ulipe kodi ya frame,umeme plus chakula weeeeew mbna aliachakBiashara ya duka aise sijawahi ona biashara yenye stress km hii niliifanya miezi mitano tu ila nilizeeka ghafla.
Sitaki hata kuisikia tena
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]dula siobro aliwahi kufungua duka sasa nakwambia TRA wakawa wanamhemea mgongoni,,,yaan mauzo faida 6000 kwa sku afu hapo hapo ulipe kodi ya frame,umeme plus chakula weeeeew mbna aliachak
Ilikuaje mkuuKukopesha pesa mitaani!
Duuh noma sana...So ukawa unapata hasara[emoji24] Hapo kwenye utapeli duuBiashara ya samaki wabichii nilikuwa natoa mwanza/musoma mpaka town nilikuwa nauza jumla ila changamoto ni kubwa sana.
Ukiachana na shombo wa mama wa sokoni wanatapeli sana halafu ikichelewa au barafu ikiisha wanapungua kiloo
Unauzaje kwa kilo na una kilo ngap@hornet nina mchele hapa gheto nilinunuaga mbeya lakn siujui jina ila ni ule first grade,,nkitaka kuupika huwa siuchambui maana umenyooka n hatari kama una soko la kueleweka tufanye connection tuusafirishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukalima vitunguu lakini unapikia kitunguu cha kununuaHahahahaa daah kilimo cha vitunguu Dakawa...
Sikupata hata cha mboga
Achaaa mkuu yani nilipata hasara na duka nikafungaa mwaka 2015.Duuh noma sana...So ukawa unapata hasara[emoji24] Hapo kwenye utapeli duu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha mapambanoHahahahaa daah kilimo cha vitunguu Dakawa...
Sikupata hata cha mboga