Elementi
Member
- Apr 9, 2019
- 60
- 156
Nimelipenda jibu lako mkuuSababu kuna mwanamke atakuja kucomment kuhusu emoji na kuacha mada ya maana inayoongelewa.[emoji48]
Hawa mbuzi huwaga ni wasumbusfu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimelipenda jibu lako mkuuSababu kuna mwanamke atakuja kucomment kuhusu emoji na kuacha mada ya maana inayoongelewa.[emoji48]
Mkataba watu wanaandikishana lakini wapi mkuu labda kama wewe unawapaga pikipiki mwaka ukiisha...
Ufugaji kuku
Ndiyo mkuu, akimaliza mkataba chombo inakuwa yake na walio wengi huchemka Mf. Anaweza akapiga mkataba miezi 5 afu akashindwa anarudisha chombo kwa bosi kwaiyo akirudisha chombo we ndo unazidi kunufaika na akimaliza mkataba bado unanufaika vile vile.Huwa unawapa Bodaboda iwe yao baada ya mwaka?? Au mkataba gani mkuu
Changanua kidogo mkuuMpesa na tigo pesa..Ni stress hatari
Umeshapata mkuu?Nina shida na ule mchele ulionyooka kama wa Kamsamba
Naweza kupata?
Daaah mimi nlitumia zaidi ya laki 3 tena ya mkopo wa chuo kulima ufuta,sikurudisha ata sent ni hasara tupu nilitaman adi kulia sema ndo uwanaume tu nkajikaza..Nimetumia Zaidi Ya 1M Kulima Mihogo,
Haikurudi Hata 100 !
Hii nzuri sana.Ndiyo mkuu, akimaliza mkataba chombo inakuwa yake na walio wengi huchemka Mf. Anaweza akapiga mkataba miezi 5 afu akashindwa anarudisha chombo kwa bosi kwaiyo akirudisha chombo we ndo unazidi kunufaika na akimaliza mkataba bado unanufaika vile vile.
Umeshapata mkuu?
Mchele wa kamsamba upo. Unahitaji kiasi gani...?Bado
Duu kweli biashara full changamoto, mimi kila nikipita maeneo hayo uona kama ni maeneo yenye kufaa sana kilimo cha vitunguu na nyanyaHahahahaa daah kilimo cha vitunguu Dakawa...
Sikupata hata cha mboga
Kipindi niko first year chuo nlinunua bodaboda mbili aisee io changamoto yake usipime stres tupu madereva pasua kinoma nikapiga chini nikaziuza zote aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Biahara za vyombo vya moto majanga aisee...Biashara ya taksi, pasua kichwa kweli kweli, kila ukiona simu ya dereva hata kama uko sehemu ya starehe, gambe inayeyuka yote kichwani
Kweli kabisa, yaani ukiweka gari ya biashara barabarani, hesabu hiyo gari siyo yako changamoto zake nyingi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Biahara za vyombo vya moto majanga aisee...
Duu kweli biashara full changamoto, mimi kila nikipita maeneo hayo uona kama ni maeneo yenye kufaa sana kilimo cha vitunguu na nyanya
Mchele wa kamsamba upo. Unahitaji kiasi gani...?